Social Icons

Wednesday, June 27, 2012

WHEN COUPLES ARGUE


She came from a family where everyone, parents and children, griped, complained and argued openly and often. In fact, her family was one of almost constant verbal conflict. They argued about anything and everything. On the other hand, her husband came from a family where children were simply not allowed to argue. If his parents got into an argument, he thought that his world was coming to an end.

When it came to their marriage, she thought that arguing was just a normal way of expressing her feelings. He  looked upon an argument with an anxiety that a catastrophe was at hand. After they had been married only a few weeks, they had an argument. She thought nothing about it, other than expressing her negative feelings. He was thinking that this marriage will never work. He became quiet and began to think about divorce. After all, when his parents argued it was rare and very serious.

Points to Consider
The families of origin for the husband and wife need to be discussed openly and honestly. Understanding is a key to a successful marriage. If couples are to understand one another, they must understand life in each other's family of origin. Failing to understand family life from your spouse's past is failing to understand your mate.
Sooner or later, all couples have disagreements. If there is never a difference of opinion, most likely someone is not being transparent, which is worse than an argument. Transparency is absolutely necessary to intimacy in marriage. The person who hides a disagreement or negative feelings toward the spouse builds an invisible wall which inhibits authentic communication.
Arguments should be about differences of opinion without personal attacks. Words are powerful. Hurtful words that are spoken during the anger of the moment can have long-lasting negative effects. Expressing negative feelings is always good. Expressing words that intentionally hurt the one you love is never good. It may cause an emotional withdrawal in the relationship.
Listening is an important part of resolving any argument. Sometime the other person simply needs to express negative feelings and pent-up emotions. When you listen to your spouse, the one you love is able to process all those negative emotions. Intimacy is restored after you actively listen.
Don't withdraw during an argument just to avoid hearing your mate's complaints. Running away from a disagreement never resolves it. Provide a safe place for your spouse to be open and honest. Refuse to become defensive, rather, ask questions that lead to understanding the negative feelings.
Finally, some couples just dearly love to argue. One husband said, "My wife and I love to argue, because making up is so much fun." For some people it may be true. For others, it's nothing short of a catastrophe. Your family of origin may be the difference. 

BLACK FOREST CAKE...

Black Forest Cake Recipe


Black Forest Cake
Yield: 10 to 12 servings
Prep Time: 40 minutes  | Bake Time: 30 to 35 minutes
For the cake:
2 cups sugar
1¾ cups all-purpose flour
¾ cup cocoa powder
1½ teaspoons baking powder
1½ teaspoons baking soda
1 teaspoon salt
2 eggs
1 cup whole milk
½ cup vegetable oil
2 teaspoons vanilla extract
1 cup boiling water
For the cherries:
1 can (20 ounces) cherries, drained
¼ cup Kirsch or other brandy
For the whipped cream:
1½ cups heavy cream, chilled
½ cup powdered sugar
2 teaspoons vanilla extract
1. Preheat the oven 350 degrees F. Grease and flour two 9-inch round baking pans.
2. Whisk together the sugar, flour, cocoa powder, baking powder, baking soda and salt in a large bowl. Add eggs, milk, oil and vanilla; beat on medium speed of mixer for 2 minutes. Stir in boiling water (batter will be thin). Divide batter between the two prepared pans.
3. Bake 30 to 35 minutes or until thin knife inserted into center comes out clean. Cool 10 minutes; remove from pans to wire racks. Cool completely.
4. Reserve 12 cherries for decorating. Combine the remaining cherries and the Kirsch; set aside.
5. To make the whipped cream, combine the heavy cream, powdered sugar and vanilla extract and whip until soft to almost-stiff peaks form. Refrigerate whipped cream until ready to use.
5. Once the cakes are cool, level the tops and place one layer on a serving platter. Using a slotted spoon, remove the cherries and place on the cake layer. Top with about ½ to ¾ cup whipped cream, spreading over cherries (that’s an estimation, as I didn’t measure, just covered the cherries and spread into an even layer). Place the second layer on top, and frost the entire cake with the remaining whipped cream. Decorate as desired. (I used a 1M tip to pipe on top and placed the reserved cherries on top of each decorative star, and then lined a bottom border with chocolate shavings.)
* Note: If you do not have Kirsch or brandy, or would rather not use alcohol, reserve ¼ cup of the juice/syrup from the canned cherries before draining.
* Note: To make chocolate shavings, scrape a melon baller across a block of chocolate (or back of a candy bar). To attach them to the cake, lift them with an offset spatula and gently touch them to the sides of the cake.

Tuesday, June 26, 2012

NENDA BABA KATUWAKILISHE.....



Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Peter Slaa.

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Peter Slaa amealikwa kuwa mmoja wa wanajopo (panelists) wanne, kutoka Mabara ya Afrika, Asia, Amerika Kusini na Ulaya, watakaojadili mada isemayo “Demokrasia Shinikizoni (democracy under pressure)” nchini Ujerumani.


Katibu Mkuu Dkt. Slaa ambaye amesafiri jana jioni kuelekea Ujerumani, atakuwa pamoja na wanajopo wenzake wengine ambao ni Prof. Dr. Kyaw Yin Hlaing (Academic Director Myanmar Egress; kutoka Rangum/Myanmar), Dkt. Aliaksandr Milinkiewitsch (Chairman, Movement for Freedom; kutoka Minsk/ Belarus), Gavana Henrique Capriles Radonski (Leader of the Opposition Movement Mesa de la Unidad Democratica; kutoka Carcas/ Venezuela).


Mjadala wa mada hiyo ya Demokrasia Shinikizoni, itakuwa ni sehemu ya sherehe za miaka 50 za Siku ya Shirika la Konrad-Adenauer-Stiftung (KAS Day) katika mahusiano yake ya kimataifa na wadau wake mbalimbali kutoka nchi 80 duniani.
Mwenyekiti wa wanajopo katika kuendesha mjadala huo ni Christoph Lanz (Director of Global Content; Deutsche Welle, Berlin/ Germany)
Sherehe hizo pia zitahudhuriwa na Kansela wa Ujerumani, Dr. Angela Merkel, Rais Mstaafu wa Chile, Seneta Eduardo Frei Ruiz-Tangle na Rais Mstaafu wa Bunge la Ulaya ambaye pia ni Mwenyekiti wa KAS, Dr. Hans-Gert Pottering.


Shirika la KAS linatimiza miaka 50 tangu lilipoanza rasmi kujihusisha na ukuzaji wa demokrasia, uhuru, amani maendeleo na haki. Kwa muda wote huo limekuwa likifanya kazi na wadau katika nchi mbalimbali duniani kutimiza malengo hayo tajwa.
Mpaka sasa KAS ina ofisi 80 sehemu mbalimbali duniani (pamoja na Tanzania), ikishirikiana na wadau wake katika kuendesha miradi inayohusiana na malengo hayo katika nchi 120.


Katika kusherehekea Jubilee ya Miaka 50 ya Siku ya KAS itakayofanyika Juni 27, 2012, shirika hilo limeamua kukutana na wadau na marafiki zake ambao pia wamekuwa wakitoa mchango mkubwa katika utendaji kazi wa KAS katika shughuli za kupigania demokrasia na maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wa nchi husika.
Katika mada ya “Demokrasia Shinikizoni”, wanajopo watajadili changamoto zinazowakabili watetezi wa demokrasia katika tawala mbalimbali zinazotumia njia dhalimu zinazobana upanukaji wa demokakrasia ambayo ni msingi muhimu wa maendeleo ya watu.


Imetolewa Juni 25, 2012, Dar es Salaam na;
Tumaini Makene
Afisa Habari, CHADEMA  

ANATAFUTA KAZI....HOUSE MAID!!!!




NI HODARI WA KAZI MPENI KAZI ZA NYUMBANI ANAWEZA 

Jamani, house girl huyooooo. Let me know if you need one, I will refer her to you! 
Do you need her? 
This girl is from my neighbourhood and she is looking for a job as a live-in maid. She is willing to go the extra mile of getting up anytime and prepare food for daddy when he comes home. Please forward to any potential employer, I would appreciate your assistance. 

Regards,
Black Queen

Monday, June 25, 2012

KWA AMBAO HAMJAONA PICHA ZA YALIYOJIRI KWENYE UZINDUZI WA FILAMU MPYA YA WEMA

Omotola akiwa na mwenyeji wake Wema 

Miriam Odemba, Omotola na Mange mamaa wa U-Turn!!
Omotola akifurahia na kucheza ngoma iliyoandaliwa mahsusi kwa mapokezi yake 
KWA PICHA ZAIDI NA MENGI YALIYOJIRI USIKU HUO GONGA HAPO CHINI.


                       YALIYOJIRI KWENYE UZINDUZI WA FILAMU MPYA YA WEMA ...  


                                          Habari na Picha Shukrani kwa BONGO STAR LINK


Enjoy!!

Friday, June 22, 2012

KAULI YA MH JOHN MNYIKA KUHUSIANA NA KUTOLEWA BUNGENI HIVI KARIBUNI


Kauli yangu juu ya kile kilichotajwa kwenye gazeti la Majira la tarehe 21 Juni 2012 kuwa “Siri ya kukataa bajeti yafichuka: Yadaiwa hilo ni shinikizo la nchi za magharibi; lengo ni kupora gesi, mafuta na madini ya urani”:
Nilipotolewa bungeni tarehe 19 Juni 2012 nilieleza kwamba nitatoa tamko la kina ya sababu za kutoa kauli bungeni kuwa “tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa Rais Kikwete, uzembe wa Bunge na upuuzi wa CCM”; nimeacha mpaka sasa kutoa tamko kuwapa nafasi Rais Kikwete, Wabunge na CCM watafakari mchango niliotoa bungeni na kuchukua hatua zinazostahili za kuondoa bajeti na kuwezesha marekebisho ya msingi.
Wakati nikisubiri hatua hizo amenukuliwa tarehe 21 Juni 2012 Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Katibu wa Fedha na Uchumi wa CCM akitoa madai ya uongo ambayo yanaendelea kudhihirisha kile nilichokieleza bungeni; hivyo katika muktadha huo iwapo Rais Kikwete na Bunge halitarekebisha udhaifu uliojitokeza nitaendelea kuungana na wabunge wengine wa upinzani kukataa bajeti na kuchukua hatua zaidi na kutoa tamko la kina siku chache zijazo.
Kwa sasa nieleze tu kuwa Nchemba anapaswa kuyataja kwa majina hayo mataifa ya magharibi na kuwataja kwa majina wabunge na wanasiasa anaodai wamewezeshwa kifedha ili kukataa bajeti kuwezesha kuporwa kwa gesi, mafuta na madini ya urani. Aidha, Waziri wa Mambo ya Nje, Benard Membe anapaswa kutoa kauli kwa umma iwapo maneno hayo ya uzushi ndio msimamo wa Serikali ya Tanzania inayoongozwa na CCM.
Wananchi ambao wametutuma wabunge kuikataa bajeti wanajua kwamba bajeti hii inakataliwa kwa kutokuweka misingi ya kutimiza ahadi ya Rais Kikwete na CCM ya maisha bora kwa kila mtanzania na badala yake kuongeza ugumu wa maisha kutokana na kushindwa kukabiliana na matatizo ya mfumuko wa bei.
Aidha, wabunge tumekubaliana na maoni ya kambi ya upinzani ya kuikataa bajeti kwa kuwa imeshindwa kuzingatia Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano ambao ulipitishwa kwa azimio la bunge ambao ulipaswa kuiongoza serikali kuweka mkazo katika kuendeleza nchi kwa kutumia fedha za ndani. Nikinukuu ukurasa wa 92 kifungu cha 4.3.1 “Kwa kuelewa kuwa wakati wote kutakuwa na miradi ya uwekezaji nje ya mpango, serikali kuanzia sasa itakuwa inatenga asilimia 35 ya makadirio ya mapato yake ya ndani kwa ajili ya kugharamia bajeti ya maendeleo kila mwaka”. Wabunge tunayakataa makadirio ya bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2012/2013 kwa sababu Serikali imetenga asilimia sifuri ya mapato ya ndani kwa ajili ya kugharamia bajeti ya maendeleo.



NANI ZAIDI KWA SHEPU - MERCY AU YVONNE?




Mercy Johnson na Yvonne Okoro ni waigizaji wa filamu toka Nigeria ambao wote wamejaaliwa maumbo yakuvutia yaliyojengeka vizuri.Kwa mtazamo wako, Ni mwigizaji yupi kati ya hawa wawili ana shepu bomba inayovutia kuliko mwenzie ???Mercy Johnson au Yvonne Okoro?
Mercy Johnson na Yvonne Okoro ni waigizaji wa filamu toka Nigeria ambao wote wamejaaliwa maumbo yakuvutia yaliyojengeka vizuri.Kwa mtazamo wako, Ni mwigizaji yupi kati ya hawa wawili ana shepu bomba inayovutia kuliko mwenzie ???Mercy Johnson au Yvonne Okoro? 

Mercy Johnson

Yvonne Okoro

Andika jina moja tu la unaeona anafaa kuwa mshindi! mi naona ...........ndo zaidi!!

Source: Nollywood by mindspace!

Thursday, June 21, 2012

MASHABIKI WOTE WA MAREHEMU KANUMBA



Bado mpaka sasa kumbukumbu za watanzania hazijalala, movie star marehemu Steven Kanumba bado anakumbukwa kwa sababu bado kazi zake nyingi alizozifanya zinaendelea kuonekana katika maisha ya kila siku ya watanzania wengi.
Wakati huu ambapo maonyesho ya sabasaba yanakaribia kuanza Dar es salaam familia yake imeamua kuchukua banda maalum kwenye viwanja vya saba saba kwa ajili tu ya kuendelea kumuenzi Marehemu Kanumba.
Seth ambae ni Mdogo wake waliekua wakiishi pamoja Sinza Dar es salaam amesema ni banda la Kanumba litakalokua na Nguo zenye alama alizokua anazitumia Kanumba ikiwa ni pamoja na jina na ujumbe, kutakua na picha zilizo kwenye frame za Kanumba zinazomuonyesha toka akiwa utotoni, pia vikombe, kanga, bazee na vitu vingine vingi vyenye alama na picha za Kanumba.
Seth amesema Mama mzazi wa Kanumba pamoja na watu aliokua akifanya nao kazi Kanumba watakuwepo kutoa maelezo mbalimbali kuhusu Kanumba na kazi zake.
Source: Millard Ayo

GOD BLESS Us DIFFERENTLY...

I am not complaining, but just letting u guys know that God blesses us differently………….

Arnold  Schwarzenegger

Britney Spears


Calvin klein


Celine  Dion


Elton John


George Michael


Madonna


Mariah Carey


Michael  Jackson


Michael Jordan


Michael Schumacher


Mike Tyson


Pete Sampras


Phil Collins


Ronaldo
 


   Hussein Shelukindo – Korogwe Tanga!

GOD BLESS YOU ALL.

Wednesday, June 20, 2012

I WILL PLAY FOR SHANGHAI SHENHUA FC



I

Today I can inform you that I have signed with Chinese club Shanghai Shenhua FC for a two and a half year deal.
"Today I can inform you that I have signed with Chinese club Shanghai Shenhua FC for a two and a half year deal (until the end of 2014). I will fly out to join up with the squad in July.

I have considered all the offers I have received in the past few weeks, but I feel that Shanghai Shenhua FC is the right move for me at this time. I am looking forward to a new challenge and to experiencing a new culture, and I am excited about the new developments in the Chinese Super League. When Chelsea went to China last year, we had a great time and I met some amazing fans.

I hope to help promote Chinese football around the world and further improve the links between China and Africa."


Didier

SEMINA ELEKEZI YA MASHETANI!...INATISHA KWA KWELI SOMA YOTE USICHOKE...



Lucifer, Mkuu wa mashetani aliitisha semina elekezi kwa mashetani wote Duniani na katika hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano
huo alisema:-
"Tumeshindwa kuwazuia WANADAMU wasiende kwenye nyumba za IBADA"
Tumeshindwa kuwazuia wasisome VITABU vyao vitakatifu na kufahamu ukweli"
Tumeshindwa hata kuwazuia wasiwe na mapenzi ya kweli kwa MITUME yao " "Mara wapatapo muungano wa kweli kwenye MAHUBIRI ya DINI zao, mamlaka yetu yatakuwa yamefika mwisho."
Kwa hiyo kuanzia sasa waacheni waende kwenye nyumba zao za IBADA, waacheni waendelee na karamu zao za upendo,
LAKINI waibieni muda, ili wasipate nafasi ya kudumisha IBADA za kweli kweli kwa MOLA WAO MUUMBA...."
"Hiki ndicho ninachotaka mfanye." Alisema Lucifer:
"wataabisheni WANADAMU WOOTE wasipate kamwe kushikamana na DINI zao na wasifungamane katika KUMCHA MUNGU"
"Tutafanyaje jambo hilo?" mashetani yalimwuuliza
kwa jazba.
LUCIFER aliwajibu:
"hakikisheni wanakuwa 'BUSY' (BUSY= Being Under Satan's York ) katika mambo yasiyokuwa na umuhimu katika maisha yao na muwaanzishie mipango mingi sana isiyohesabika ili kujaza akili na ufahamu wao. "Washughulisheni na kutumia, na kutumia, na kutumia; na kukopa, nakukopa, na kukopa."
"Washawishini wake zao waende kufanya kazi kwa siku na kushinda huko kwa masaa mengi sana kwa siku na Waume zao wafanye kazi kwa siku sita hadi saba kwa wiki, na masaa 10 hadi 12 kwa siku, ili wasiweze kupata nafasi ya kutulia na kutafakari chochote kulingana na mfumo huo wa maisha." "Wazuieni wasiwe na nafasi ya kukaa na watoto wao"
"Wachocheeni zaidi akili na fahamu zao ili kuhakikisha kwamba hawaiskii ile sauti ndogo tulivu ya Mungu wao."
"Washawishini walize radio au kaseti au muziki kwenye simu, popote wanapoendesha gari au wanapotembea kwa miguu.
Waache TV,VCR, CD na KOMPYUTER zikiwa zimewashwa kama kawaida majumbani mwao na mhakikishe kwamba kila duka na mgahawa kote duniani linapiga muziki usiokuwa wa KIDINI tena mfululizo bila kukoma." "Hii itasonga akili na fahamu zao na kuvunja ule muungano kwa MOLA WAO."
"Jazeni magazeti na vijarida mbalimbali vya upuuzi kwenye meza zao za kahawa na chai Duniani kote."
"Shindilieni habari na matukio mbalimbali ndani yafahamu zao kwa muda wa masaa 24."
"Ingilieni kwenye muda wao wa kuendesha barabarani kwa kuwaonyesha mabango na matangazo.' "Kwenye masanduku ya posta na barua pepe jazeni vipeperushi
na majarida na kila aina ya matangazo ya habari za vitu na hudumu yanayowapa matumaini ya uongo."
"Wekeni wanawake warembo sana mitaani, club, maofisini na kwenye Televisheni na majarida ili kwamba Wanaume walioko kwenye ndoa wadanganyike na kuamini kwamba urembo wa nje ndio muhimu, na wasiridhike na wake zao."
"Wafanyeni wake zao wachoke sana wasiweze kuonyesha upendo kwa waume zao nyakati za usiku.Wapeni maumivu ya kichwa ili wasiwape waume zao upendo wanaouhitaji sana,ili waanze kutazama kwingine. Wafanyeni Wanawake wawadharau Waume zao na kuwapuuza.
"Hiyo itaparaganyisha familia zao haraka sana !
"Wapeni WANADAMU Waalimu wa uongo ili wawapotoshe wasifundishe maneno ya MUNGU ya kweli kwa watoto wao na waumini wao."
"Hakikisheni wanakuwa 'BUSY' na kusongwa na mambo kiasi kwamba hawapati muda wa kutafakari wema wa Mungu. Badala yake wapeni kutalii kwenye maeneo ya ajabu, matukio ya michezo, matamasha, kumbi za sinema na video."Wafanye wawe 'BUSY,' 'BUSY,' 'BUSY,! Yaani wasongwe na kusongwa na kusongwa na kazi kwelikweli!"
"Na wanapokutanika kwenye ibada zao za kiroho wafanye waingie katika umbea na fitina na kuzungumzia mambo madogo madogo ya umbea na fitina ili waondoke wakiwa na dhamira mbaya zilizochafuliwa."
"Jazeni visababishi vingi vya mambo katika maisha yao ili wasiwe na nafasi ya kutafuta msaada na nguvu za MUNGU. Muda si mrefu watakuwa wakitegemea akili zao wenyewe, badala ya maelekezo ya MUNGU, huku wakihatarisha afya zao na za familia zao kwa ajili ya maangamizi yao wenyewe."
"Itafanya kazi" "Itafanya kazi!
"Huu ni mkakati kweli kweli. Mashetani yaliondoka kwenye mkutano yakiwa na hamu kubwa sana ya kutekeleza majuku hayo waliyopewa na kuanza kuwafanya WANADAMU wawe wa kukimbia na mambo huku na huko. Watakuwa na muda
mdogo sana kwa ajili ya Mungu wao na familia zao. Wakakosa muda wa kuwaeleza wengine kuhusu MAMBO YA IBADA na kubadili maisha ya wanadamu.
SWALI:- JE SHETANI AMEFANIKIWA
KATIKA MIPANGO YAKE HIYO? WEWE NDIYE HAKIMU !!!!!!!! TAFAKARI KUANZIA SASA KUTATHMINI UMETOKA WAPI, UKO WAPI NA UNAKWENDA WAPI. PIA UNA MKAKATI GANI WA KUPAMBANA NA MIKAKATI YA SHETANI.
'UBIZE' au kutingwa na kazi kunamaanisha : kuwa chini ya mkataba au utumwa wa shetani?

TUZIDI KUMOMBA MUNGU MAMBO YA DUNIA YANATISHA SANA.


KITUKO.....!!

Anneka Tanaka was just one of a number of flamboyantly dressed women at the race meet today

Mmmmmhhh!!!
Tuiwekeje hii, ubunifu au?? nini mtazamo wako....tushirikishe kwa ku-comment au Email: majoy28@gmail.com

Tuesday, June 19, 2012

KILICHOMTOA MNYIKA NJE YA BUNGE LEO..



John Mnyika akisindikizwa na askari wa bunge. (picha kutoka issamichuzi.blogspot.com)
Mbunge wa Ubungo John Mnyika kwa ruhusa ya Chadema ametolewa kwenye bunge leo kutokana na kukataa kufuta kauli aliyoitoa iliyosema ‘tumefika hapa tulipo kwa sababu ya udhaifu wa Rais Jakaya Kikwete, kwa sababu ya wabunge na bunge, na tumefika hapa tulipo kwa sababu ya upuuzi wa CCM’
Kwa habari zaidi sikiliza Amplifaya ya Clouds Radio leo  kuanzia saa moja usiku.

PUBLIC NOTICE!!!


Hahahahaaaa nimeipenda hii na wangu ntamtangaza!!!!



Monday, June 18, 2012

JAMANI TUMUOMBEENI MZEE SMALL



DUA za Watanzania zinahitajika kumuombea msanii aliyepata umaarufu Bongo kupitia sanaa ya uigizaji wa vichekesho, Said Ngamba maarufu kama Mzee Small (pichani), Risasi Jumamosi linakupa habari za kina.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana hivi karibuni kutoka kwa ndugu mmoja wa karibu (hakutaka kutajwa jina), zinasema kuwa afya ya msanii huyo aliyewahi kutamba katika vikundi vingi vya maigizo bado ni tete.
Hivi karibuni Mzee Small aliripotiwa kuugua ugonjwa wa kiharusi na kulazwa katika Hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar kabla ya kuhamishiwa katika  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

“Pamoja na kwamba  ameruhusiwa kutoka Muhimbili lakini hali ya Mzee Small bado siyo nzuri,” alisema ndugu huyo.
Kwa mujibu wa ripoti ya madaktari wa Muhimbili, awali Mzee Small alitibiwa shinikizo la damu ili kudhibiti tatizo la kiharusi ‘stroke’ na kupata nafuu kiasi.

“Baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali, hivi sasa familia imeamua kumhamishia Mzee Small kwa mwanaye mkubwa anayeishi Gongo la Mboto ili aweze kupata nafasi ya kufanya mazoezi na kupumzika,” alisema ndugu huyo na kusisitiza kuwa nguvu zaidi zinahitajika ili kuweza kumtibu msanii huyo.

Chanzo:Erick Evarist na Gladness Mallya
Global Publishers.

Your Father Bond ....


The Barna Research Group did a survey among 3,700 teens in evangelical churches. 82% attended church weekly. 86% had made a personal commitment to Christ. 54% seldom or never talked to their father. One in four never had a meaningful conversation with their father.

The bond of a father with his children is dependent on meaningful conversation, both in the teen years and in the years to come. Without meaningful conversation, there simply cannot be a meaningful relationship. Communication is the heart of any bond between persons. Without such conversation, the bond is weakened, if there is any bond at all.

It may well be that many fathers simply do not understand how important meaningful conversation is with their children. Mothers seem to be so much more effective in meaningful conversation, and perhaps this is because of the gender difference. However, meaningful conversation is not just about talking. A very important part is about listening.
Effective communication also includes eye contact and undivided attention. Listening to a child says, "You are important to me." No parent must have all the solutions to a child's problems, but every parent can listen.

A daughter in the transitional years needs a dad who will listen. She is learning to relate to men. How she relates to her dad will be preparation for how she relates to her husband. Dad shows his love to her when he listens to her problems and feelings. He can relax, knowing that he need not have all the answers. If he just listens, most of the time she will feel better, simply because she knows that he cares.

A son in the transitional years needs a dad who will listen. He needs to understand his son's struggles in becoming a man. A son needs to be able to share his dreams for the future as well as his fears. Dad can identify with him by sharing his struggle in becoming a man. His dad can relieve stress and fear by understanding his anxieties. The father is a son's mentor to manhood. All mentoring requires meaningful communication.

The father bond impacts a child's relationship with God. We often get our earliest images of what God is like through our own father. Hopefully, that is a picture of a father who loves and cares, listens and speaks. Many adults who seemingly have problems in finding a meaningful relationship with God are really trying to resolve issues with a father.

God has designed that the father is his representative in the family. Mothers teach their children much good about God through loving words and deeds, but dad is an image of what God must really be like. When dad has meaningful communication with his children, he listens and speaks, showing that he cares. He provides a model for his children to understand more about a loving heavenly Father.

Friday, June 15, 2012

FRIDAY MESSAGE TO ALL FRIENDS OF MAJOY BLOG


I WISH YOU ALL AVERY NICE WEEK-END FULL OF JOY,LOVE AND SUCCESS TO EVERYTHING GOOD YOU PLAN TO DO.

GOD BLESS U ALL.

KISSES & HUGS,
MAJOY.


Thursday, June 14, 2012

SAJUKI ANAENDELEA VIZURI BAADA YA MATIBABU


Picha tofauti za Sajuki akiwa nyumbani kwake baada ya kurudi nchini toka India alikokuwa kwa ajili ya matibabu.Mungu ni mwema hali ya afya yake inaridhisha,tunazidi kumwomba Mungu amponye haraka ili arudi kwenye game kama kawaida.
              

MSANII wa filamu Bongo aliyekuwa ameenda kupata matibabu katika Hospitali ya Saifee iliyopo jijini Mumbai, India, Sadick Juma Kilowoko ‘Sajuki’ amepata nafuu na kwa sasa anaendelea na dozi ili aweze kupona kabisa.
Akizungumza na Risasi Jumatano juzi nyumbani kwao Tabata jijini Dar, msanii huyo alisema sasa hivi afya yake imeimarika tofauti na alivyokuwa awali hivyo anawashukuru wote waliomsaidia na kwamba yeye hana cha kuwalipa ila Mungu atawalipa.
“Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwani hali yangu inaendelea vizuri, kinachonisumbua ni ukali wa hizi dawa tu kwani kuna wakati mwingine nakosa nguvu lakini madaktari waliniambia nizitumie mpaka zitakapoisha,” alisema Sajuki na kuongeza:
“Pia niwashukuru Watanzania kwa michango yao, hakika wameonesha ubinadamu wa hali ya juu kwangu lakini nikanushe taarifa za kwamba nimerejea kama nilivyokwenda, kwa aliyeniona wakati naondoka atakubaliana na mimi kuwa afya yangu imetengemaa kwa kiasi flani.”
Mbali na shukrani kwa Watanzania, Sajuki aliwashukuru pia madaktari wa hospitali ya Saifee kwa uangalizi waliompatia ikiwemo kumpa chakula kizuri kilichokuwa kikihitajika kutokana na dawa anazotumia.
“Nawashukuru sana wale madaktari kwani wamenitibu chini ya uangalizi mzuri kiasi cha kunifanya nipate nafuu hii,” alisema.
Sajuki alianza kusumbuliwa na uvimbe mwaka jana ulioanzia mkononi kisha ndani ya mwili kwenye ini na baadae ikagundulika kuwa, siyo kwenye ini tu bali umesambaa hadi sehemu nyingine za tumboni.
Risasi Jumatano linamuombea kwa Mungu Sajuki apone kabisa, apate nguvu za kumuwezesha kurejea katika ulingo wa filamu ili aendelee kutuelimisha na kutuburudisha tunapokuwa tumejipumzisha majumbani mwetu.

Imeandikwa na Musa Mateja, Imelda Mtema na George Kayala.

Source: Global Publisher



DIAMOND PLATINUMZ KATIKA MIKASI SHOW


Diamond akipigwa mapouda tayari kwa show.
After makeup, akatupia shade pale kati.
Akiwekewa mic tayari kwa show.
Show imeanza.
Show ikiendelea.
Pozi baada ya show.
Platinumz akiwa na Mhe. Aden Rage pale kati baada ya show.
Hapa akishow love na mashabiki wake

Hii alama ya Mikasi hamkawii kusema Freemassons!!!
Salama na maswali ya kizushi lol!!




Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...