HERUFI A
Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa,
anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye
tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda
Mamlaka, na ana kiburi, na hasira.
HERUFI B
wenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda
kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anap
otaka kulinda vilivyo katika himaya yake.
HERUFI C
Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kukubadilika badilika,
mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu
na wanaopenda mawasiliano.
HERUFI D
Mwenye jina linaloanziana na herufi D ni mtu anayependa usawa, Biashara. Ni
watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi. Ni jeuri na wenye
msimamo.
HERUFI E
Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi
na huruma. mwenye kupenda uhuru katika mapenzi na mchangamfu. Kinyume na
hivyo atakuwa ni mtu asiotegemewa na kigeugeu.
HERUFI F
Mwenye jina linaloanzia na herufi F ni mtu mwenye mapenzi,huruma , roho
nzuri na ana uwezo wa kuwafariji watu. Ni mtetezi wa watu na mwenye huzuni
lakini ni mzito wa kufanya maamuzi.
HERUFI G
Mwenye jina linaloanzia na herufi G ni mtu mwenye mwenye imani ya kidini na
nguvu za kiroho. Ana kipaji cha kubuni na uwezo wa kutatua matatizo ya
watu. ni mtu mwenye hisia kali,msomi, mpweke na mkaidi wa kukubali ushauri
wa kutoka kwa watu.
HERUFI H
Mwenye jina linaloanzia na herufi H ni mtu mwenye ubunifu na nguvu katika
biashara, hupata faida kubwa kutokana na jitihada na bidii zake. ni mwenye
mawazo mengi, mchoyo na mbinafsi.
HERUFI I
Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu mwenye kupenda sheria, ana
huruma na utu. Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye hasira za haraka.
HERUFI J
Mwenye jina linaloanzia na herufi J ni mtu mwenye matamanio,mkweli, mkarimu
na muerevu. asiyekubali kushindwa na hupata mafanikio makubwa. Wakati
mwingine anakuwa ni mtu mvivu na aliyekosa mwelekeo.
HERUFI K
Mwenye jina linaloanzia na herufi K ni mtu mwenye jeuri. mwenye msimamo
thabiti,mashuhuri na mwenye uwezo wa kushawishi na kuamsha hisia za watu
wana uwezo wa utambuzi ambao watu wengi hawana. ni mtu asioridhika na hali
ya kimaisha.
HERUFI L
Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa vitendo, mwenye hisani na
aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa wanapata ajali mara kwa mara.
HERUFI M
Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye kujiamini sana,
mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye haraka na mwepesi
kukasirika.
HERUFI N
Mwenye jina linaloanzia na herufi N ni mtu mwenye ubunifu, hisia kali na
hupenda kuwasiliana lakini ana wivu sana.
HERUFI O
Mwenye jina linaloanzia na herufi O ni mtu mwenye subra, mvumilivu na
mwenye bidii ya kusoma. Ni mtu mwenye kupenda kutumikia jamii na mwenye
uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia.
HERUFI P
Mwenye jina linaloanzia na herufi P ni mtu mwenye uwezo wa kuamrisha na
hekima kubwa. Ana nguvu za kiroho lakini anapenda sana kujitumbukiza kwenye
mambo ya watu.
HERUFI Q
Mwenye jina linaloanzia na herufi Q ni mtu mwenye kupenda mambo ya asili.
Ni watu wasiyoelezeka nawana uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana hata
hivyo ni mtu aliyepooza sana.
HERUFI R
Mwenye jina linaloanzia na herufi R ni mtu mwenye uvumilivu, wenye huruma
lakini ana hasira za haraka. Muda wote anakuwa mpenda amani.
HERUFI S
Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvuto mkali wa kuleta
utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa.
HERUFI T
Mwenye jina linaloanzia na herufi T ni mtu mwenye kupenda ushauri wa
kiroho, anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya
muda mrefu. Ni watu wenye hisia kali sana na ni wepesi kushawishika.
HERUFI U
Mwenye jina linaloanzia na herufi U ni mtu mwenye bahati kubwa kwa ujumla.
Anapenda uhuru katika mapenzi. Lakini ni mtu mbinafsi, mwenye tamaa na
aliyekosa maamuzi.
HERUFI V
Mwenye jina linaloanzia na herufi V ni mtu Mchapakazi, wenye bidii na asie
choka. Hata hivyo ni watu wasiotabirika.
HERUFI W
Mwenye jina linaloanzia na herufi W ni mtu muwazi, wachangamfuu kupita
kiasi na mwenye uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya. Ni watu wenye tamaa
na hufanya mambo ya hatari.
HERUFI X
Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu asiyependa kuwekewa vizuizi
katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa
uaminifu.
HERUFI Y
Mwenye jina linaloanzia na herufi Y ni mtu mwenye kupenda Uhuru na
hawapendi kupingwa jambo lao lolote. Ni watu wanaokosa uamuzi na
husababishia kupoteza bahati katika maisha.
HERUFI Z
Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu mwenye kupenda matumaini na
BY EDO DANIEL(Mfalme Edo)
Wednesday, September 26, 2012
Tuesday, September 25, 2012
HONGERA SANA VERONICA STIMA KWA KUFUNGA NDOA
Nakutakia kila la kheri mdogo wangu katika safari ulioianza ya maisha
mapya ndani ya ndoa wewe na mumeo.
Mdumishe upendo na mshikamano kwa kila mtakalofanya.
---
Majoy
mapya ndani ya ndoa wewe na mumeo.
Mdumishe upendo na mshikamano kwa kila mtakalofanya.
---
Majoy
LADY JAY DEE AJIBU MASWALI YA FANS WAKE...!!!
JESTINA GEORGE: LADY JAY DEE AJIBU MASWALI YA FANS WAKE...!!!: Kupitia blog yake Lady Jay Dee amejibu baadhi ya maswali ya mashabiki waliomuuliza kupitia ukurasa wake wa Facebook. Hivi ndivyo al...
Saturday, September 22, 2012
WATANZANIA ENDELEENI KUMUOMBEA MZEE SMALL HALI YAKE BADO HAIJATENGEMAA
Cloud 112: Mzee Small alazwa tena: Mwigizaji nguli wa muda mrefu katika tasnia ya filamu za vichekesho nchini Mzee Small amelazwa tena kufuatana na ugonjwa wake wa presha ka...
Wednesday, September 19, 2012
MBUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI SHY-ROSE BHANJ...
JESTINA GEORGE: MBUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI SHY-ROSE BHANJ...: Mbunge wa Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji akimkabidhi kiasi cha Shilingi milioni mbili, Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha Waandishi w...
MEN DIES TRYING TO ENLARGE HIS PENIS...!!!
JESTINA GEORGE: MEN DIES TRYING TO ENLARGE HIS PENIS...!!!: A 22-year-old man died from a silicon injection which he hoped was a solution to his small penis. However, the woman who is now alleged...
Tuesday, September 18, 2012
BAADA YA NIGERIA SASA MBEYA: MWANAMKE AJIFUNGUA KI...
Mbeya Yetu: BAADA YA NIGERIA SASA MBEYA: MWANAMKE AJIFUNGUA KI...: *Kichwa cha ng'ombe. *Kiwiliwili cha binadamu. Na Ezekiel Kamanga,Chunya. Mwanamke mmoja ambaye amefahamika kwa jina la Shija Paulo(35),m...
Sunday, September 16, 2012
MORGAN TSVANGIRAI & ELIZABETH MACHEKA'S WEDDING
![]() |
| Morgan Tsvangirai and Elizabeth Macheka got married before hundreds of guests in Harare |
Saturday, September 15, 2012
WHEN A FAMILY GRIEVES
It was a memory that she could never forget. As a teenage girl, she watched her mother die a slow death with cancer. She can always remember the painful scenes of her mother wasting away in the hospice bed at home. Now she is married with two small children. Her anger and fear from her mother's death has yet to be resolved. Sometimes those emotions come back to her unexpectedly, then her husband can't understand her behavior, because she just doesn't want to talk about it. She experienced that grief with her family of origin. Now, it is being experienced in certain ways with her own family.
Points to Consider
Every loss in life causes grief. When a family faces the death of a loved one, divorce, lingering illness, financial hardship, or any situation causing loss, it causes grief. Family members face the grief together, but each member may respond differently.
Grief should be expressed within the family. Grieving family members need to be able to talk freely. Feelings of grief should not be suppressed. The emotions of grief such as denial, anger, depression, bitterness and guilt, should be identified and discussed. Children as well as adults need to be able to talk about their feelings of grief.
Fear should be admitted and discussed. Fear in the lives of children can be a major issue the rest of their lives. They need to talk. Questions need to be answered. The faith of a family (John 11:17-27) can become more meaningful than ever through a crisis. Each member needs the loving support of the family. Everyone needs to be assured of the love of God through the difficult days (Romans 8:38-39).
Grief can divide a family. The emotions of grief can divide a family. Anger and bitterness can be expressed in ways that are harmful and hurt others. This is a time for patience, understanding and loving support. Usually the family looks to a parent or another member to find help and strength. Prayer finds the strength that comes from our loving Father in heaven.
Grief is a journey not an event. Grief is not quickly resolved. The support and care of family members is needed throughout the journey of grief. Knowing that you have a family to be there for you is great comfort. You walk through the journey together.
LESSON BY DR.RICHARD TRADER
HAPPY BIRTHDAY ESTER MAHILA
![]() |
| My youngest little sister...Our last born |
Yesterday the 14th day of September some years ago our lovely mom gave birth to a beautiful baby girl, We thank God that we celebrate her birth date memories and wish her all the happiness in this world.
![]() |
| This is how she is today....she's grown up no more cries like a little baby dear you are now matured....God Bless You darling. We all love you and wish every best in life. Happy Birthday to You! |
Thursday, September 13, 2012
MAHOJIANO YA DIAMOND PLATINAMZ NA SALAMA J WA MKASI TV SHOW
Kwa mlioomba kuona mahojiano ya Salama Jabir na Diamond Platinamz kwenye Mkasi Show hii hapa.
Wednesday, September 12, 2012
SAD STORY THAT WILL MAKE YOU CRY!
A friend of mine send this to me so that I can share with you guys in here.
Its real SAD although I didn't cry!!!
Tuesday, September 11, 2012
IMANI YA KWAMBA UNAWEZA NI SILAHA YA MAFANIKIO YAKO
Ifahamike kwamba, kila mtu ana wajibu wake ambao anatakiwa kuutimiza kwa kipindi chote ambacho atakuwa hapa duniani lakini kukamilisha wajibu huo kunawezekana kwa mtu jasiri mwenye imani kwamba hakuna linaloshindikana kwake.
Kuamini huko ni miongoni mwa sababu inayoweza kumfanya akatenda mambo makubwa aonekane ni muhimu katika watu ndani ya jamii anayoishi.
Ndiyo maana kila ninapozungumzia suala la mafanikio huwa nasisitiza sana kila mtu kuwa na imani kwamba anaweza kufanikiwa kama walivyofanikiwa waliotangulia na kama itatokea akashindwa, nayo itakuwa ni hatua ya kuelekea kwenye mafanikio.
Imani inaweza kumfanya yeyote akatenda mambo makubwa sana na ndiyo maana wataalam wa saikolojia wanaeleza kwamba, unapotaka kufanya kitu chochote kwanza jenga imani kwamba unaweza! Hiyo itakupa nguvu na kukuwezesha kutimiza lengo ulilokusudia.
Wapo watu waliokuwa masikini sana kiasi kwamba katika fikra za harakaharaka huwezi kudhani kwamba maisha yao yanaweza kubadilika na wakaishi maisha ya kifahari.
Lakini kwa kuwa waliamini kuwa ipo siku, sasa hivi ni miongoni mwa watu wanaotembea vifua mbele kwa mafanikio makubwa waliyoyapata.
Hii imekuja baada ya kuukubali umasikini wao na kuuchukulia kama pointi ya kuanzia kuelekea kwenye utajiri.
Siku zote hawakuridhika bali walipambana huku wakiamini kuwa watatoka katika dimbwi la umaskini. Wewe pia unatakiwa kuishi katika mazingira hayo huku ukitanguliza imani katika kila jambo unalolifanya.
Amini unaweza kwani hiyo ni moja ya silaha wanayoitumia watu wengi waliofanikiwa. Waliamini kwamba wanaweza, wakajaribu na hata walipodondoka walisimama na kuendelea kupambana mpaka wakatimiza ndoto zao.
Vivyo hivyo kwako, kama wewe ni mfanyabiashara amini unaweza kuwa maarufu na kwa jitihada zako utafika huko.
Kama wewe ni mwanafunzi, amini unaweza kufika chuo kikuu na kuwa miongoni mwa wasomi wakubwa nchini kama tu utaweka jitihada zako katika masomo.
Nalazimika kusema haya kutokana na ukweli kwamba, kuna watu ambao wenye uwezo mkubwa sana wa kufanya mambo lakini wameendelea kuishi chini ya kiwango kutokana na udhaifu wa imani zao kwamba wao hawawezi.
Imani yako ya kwamba unaweza inaweza kukufikisha mbali kwa kutimiza ndoto zako kama ilivyotokea kwa wengine.
Monday, September 10, 2012
UMEPENDA NINI KWENYE HII PICHA??/ WHAT DO U LIKE IN THIS PIC...?? SHARE WITH US!!T
![]() |
| Madam...!! |
Feel free to comment anything as long as in good manner.
waiting for your comments.
Remember not to go beyond the topic!!
with Love,
Majoy
MAMA TERESA
Miaka 15 iliyopita tarehe 5 Septemba,1997,
Mmoja kati ya watu muhimu katika Karne ya 20 alifariki Dunia. Jina lake aliitwa Agnes Gonxha Bojaxhiu japokua duniani alijulikana kama MAMA TERESA.
Alizaliwa Macedonia Mwaka 1910 na kujiunga na na
shirika la masista wa Loreto na baadae kuhamia India alikokua akifanya kazi ya ualimu wa shule.
Mwaka 1948 alijigundua kuitwa katika Wito mwingine uliompelekea kujitoa maisha yake ili kusaidia watu masikini sana wa Calcutta nchini India na baadae kidogo kuanzisha Shirika la masista wa Upendo
Kwa miaka 45 alifanya kazi ya kusaidia wenye matatizo bila kuchoka na hatimae kutunukiwa Tunzo ya Amani ya Nobel mwaka 1979. Nchini India alizawadiwa Tunzo ya Bharat Ratna ambayo ni Tuzo kubwa kuliko zote nchin India katika maswala ya Utu (humanitarian).
Japokua Mama Teresa alikuja kujulikana zaidi na Shirika lake la masista wa upendo miaka 7 baada ya kifo chake baaada ya papa John Paul II baada ya kumtangaza mwenye heri. Papa ambae ni kiongozi Mkuu wa kanisa katoliki Duniani alimwelezea kama ni mfano uliokamilika wa upendo wa Mungu kwakua aliishi maisha yake kama alivyofanya Yesu kwa kuwasaidia wenye shida.
Ukitaka kujua Upendo wa Shirika alilolianzisha Tembele Kituo cha masista wa upendo pale Mburahati.
R.I.P MAMA TEREZA
<<<<<>>>
EDO DANIEL
Tuesday, September 4, 2012
TUKIO ZIMA LA MAZISHI(SAFARI YA MWISHO) LA MPIGANAJI MWANDISHI WA CHANEL TEN DAUDI MWANGOSI, TUKUYU MBEYA.
Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu kuelekea Makabirini
Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko
Hapa wakiwa wanashusha mwili wa marehemu katika Nyumba yake ya milele
Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa Tayari katika Kaburi
Shughuli za kuzika zimeanza
Mazishi yanaendelea
Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akiweka Shada la Mauwa kwa machungu
Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe
Watoto wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua sasa
Ni ngumu sana Kuamini kwa mke wa Marehemu lakini hali ndivyo ilivyo kuwa akiwa na huzuni kubwa
Dr Slaa akiweka Shada la Mauwa
Dr Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho
Mh. Mark Mwandosya akiweka Taji la maua pamoja na mke wake
Rais wa UTPC akiweka shada la Maua
Ndugu wa Marehemu akiweka shada la Maua
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua
Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu, Ndugu Joseph Mwaisango akiwa anatoa heshima zake za Mwisho katiaka Kaburi
Wananchi wakiwa wanarejea baada ya mazishi
Waandishi wa Habari wakichukua Tukio Live `
Na huu Ndio Mwisho wa tukio zima la Mazishi ya Ndugu yetu, Mwanaharakati, Mpiganaji Daudi Mwangosi aliyekuwa Mwandishi wa Chanel 10.
TONE MULTIMEDIA COMPANY LIMITED AMBAO NI WAMILIKI WA MTANDAO HUU WA MBEYA YETU, TUNAWAPA POLE SANA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOPATWA NA MSIBA MKUBWA, TUKIWA WANAHABARI PIA TUMESIKITIKA NA TUNASIKITIKA SANA KUTOKANA NA MSIBA HUU. MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU.
Tukio zima Limeletwa kwenu na Tone media Live Group ambapo Mpiga picha Mkuu alikuwa ni Ndugu Joseph Mwaisango na Iliye rusha Tukio zima kuanzia mwanzo mpaka mwisho toka pande za studio ni Fredy Tony Njeje.
PICHA NA MBEYA YETU BLOG
MWISHO
| Reactions: |
Updates! Hivi ndivyo zilivyo kuwa shughuli nzima za kuuaga Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi Itete Tukuyu Mkoani Mbeya
Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa una andaliwa kwa ajili ya kutolewa Heshima za mwisho
Muheshimiwa Mark Mwandosya akitoa Heshima za Mwisho
Muheshimiwa Dr Slaa akitoa Heshima za mwisho
Ndugu jamaa na Marafiki wakitoa Heshima za Mwisho
Mke wa Marehemu akitoa heshia zake za Mwisho
Ma elfu ya watu wakipita kutoa Heshima zao za mwisho
Huko Jikoni Mambo yanaendelea
Mama Mzazi wa Marehemu Daudi Mwangosi akiwa analia kwa Uchungu
Dr Slaa akiwa pamoja na Mh. Mark Mwandosya
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG
Tukio Mazishi ya Mwandishi wa Habari wa Chanel 10 Daudi Mwangosi kijijini Kwao Itete Tukuyu Mkoani Mbeya
Wawakilishi Mbalimbali wakitoa salam za Pole kwa ndugu wa Marehemu
Mwakilishi wa Chanel Ten Hamis akitoa pole katika msiba huu muda huu
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akitoa pole zake kwa wafiwa
Mwanaharakati Francis Godwin akielezea Jinsi Mauti yalivyo mkuta Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi
Rais wa UTPC Kenny Simbaya ambaye pia ni kiongozi wa msafala wa kuleta Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi akiwa anatoa salam za Pole kwa wafiwa.
Dr Slaa akitoa pole kwa wafiwa wote Muda huu
Wakina mama wakiwa wenye majonzi makubwa sana na huzuni muda huu
Tukio zima Linaletwa kwenu na Tone Media Live Group... Endelea kufuatilia
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG
Subscribe to:
Posts (Atom)















































