Ilikua ni nyumbani kwa mama yangu mjini Morogoro.
Yafuatayo ni baadhi ya matukio katika picha yaliyojiri siku hiyo......
Mie na mwanangu Derrick Nje ya Kanisa la Anglican maeneo ya Mzinga Jeshini
My Prince Derrick
Hapo kakutilia pozi la 47's la kushika ua!!!
Mdogo wangu Josephine akiwa na wanae Derrick na Shedrack
Wakati Ibada inaendelea.....
Tukiimba na kucheza wimbo wa sifa kabla ya ubatizo
Derrick na wasimamizi wake /wazazi wake wa kiroho Mariam na Silvester
Wachungaji wakiongoza Ibada ya ubatizo
Derrick akiwa amelala
Hapo nikisikiliza kwa makini neno la Mungu wakati wa mahubiri
Josephine na Mariam Mahila
Tukishiriki meza ya bwana
Mama yangu na familia yake
Derrick wakati anabatizwa
Derrick na baba yake wa ubatizo
Tukiimba wimbo wa shukrani baada ya ibada ya ubatizo
Familia ya Mahila ....mama, watoto,wajukuu na wasaidizi
Nadekaaaaa mtoto kwa mama hakui
Mie na cousin yangu ambae pia ndie Godfather wa mwanangu Derrick
Mie na wanangu
Kekiiiii
Derrick akidokoa keki yake hapo alikua anaona anachelewaaa
Kula mjukuu wangu!!
Bibi kula na weweee
Mama akilishwa!
Mdogo wangu Mariam ambae pia ni Godmother wa Derrick
Dada yake akilishwa keki
Baadhi ya vyakula vilivyoandaliwa siku hiyo....natamanijeee!!
Kipengele muhimuuuuu
Kaka mtu hakupitwa na wakati maalumu
D akijisevia menu
Hahahahaaaaa yani nacheka kila nikiiona hii picha mwenyewe katulia na viatu oversize!!!
Nikiombea chakula...kusali najua sanaaaa!
Baadhi ya marafiki wa marehemu baba yetu Mzee Mahila ambao pia ni viongozi wa kanisa la Mzinga
Tukipozi na mama yetu..
Mh.Joyce Mahila wa jimbo la Handeni
Derrick na watoto wenzie....mcheki alivyotulia
First born n Last born wetu Ester
Mama na majirani zake wa nyumbani kwetu Misufini mjini Morogoro
Magreth na D
Ma-Engineer kazini
Hivi kwa nini watoto wanapenda kuvaa viatu vya wakubwa??
Ki-Afrika zaidi!
Asanteni kwa kunisoma
HONGERA jOY, HONGERA SAMEER MUNGU AMLINDE
ReplyDeleteAsante sana Mojaone ubarikiwe mnooo
ReplyDeletehongera mama na mtoto,nakujua ingawa hunijui
ReplyDeletehONGERA mAJOY KUMBE UNA MTOTO MKUBWA HIVYO.MASHALAAA MUNGU AKUKUZIE.
ReplyDeletekumbe na wewe umezaa? hongera?
ReplyDeleteAsanteni wapendwa wangu mbarikiwe nanyi pia.Erick nikumbushe tuliwahi onana au niaje.asante kwa kutembelea blog ya Majoy
ReplyDelete