Social Icons

Monday, May 7, 2012

SIMBA BINGWA....


Ndo maana yakeee!!!




rahaaaaaa

OKWI hakunagaaaaaaaaaaa!!

Kikosi kilichowaua watani wetu jana

Yanga wakiwa hawaamini macho yao baada ya kipigo cha 5 - 0
HONGERA SIMBA SC KWA KUTWAA UBINGWA.


3 comments:

  1. JOY .. ULIKUA NI MKONG'ONTO WA NGUVU HAWATAUSAHAU KWA MUDA MREFU. POLENI WANA YANGA.

    ReplyDelete
  2. Mojaone kwani na wewe ni simba? aua umehamia jana baada ya ushindi?

    ReplyDelete
  3. MIE SIO SIMBA NA WALA SIITAKII MEMA SIMBA KTK LIGI YA NDANI LKN KTK KOMBE LA AFRIKA MIE NIPO NA SIMBA NA NAWASUPORT SANA TU. KWA AJILI YA KUWA WANAWAKILISHA NNCHII.

    MIE TIMU YANGU NI NZEGA UNITED.

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...