Social Icons

Thursday, October 25, 2012

KITCHEN PARTY YA AUNT EZEKIEL@ MLIMANI CITY


Kitchen Party ya bibie mrembo wa Bongo Movie Aunt Ezekiel aka Rahma ni leo katika
ukumbi wa Mlimani City.

Watu maarufu kibao wamehudhuria.

Kwa picha zaidi endelea kuzungukia mtaa huu.

"Picha Shukrani Kwa Jestina George Blog"

2 comments:

  1. kwa kweli aunt ezekiel wewe ni mzuri ila makeup ulipakia wapi? zimekufanya umechukiza na unaonekana mzee kwa nini lakini, au ndio kufuata masaloon makubwa yenye majina wakati unapambwa vibaya hivyo... kwa kweli makeup zako sijazipenda kabisaaa umechoshaaaaaa hata ujapendeza anayekusifia umependeza anakudanganya, msema kweli mpenzi wa Mungu, bora ungejimakeup mwenyewe unapendezaga kama nini vile, otherwise mavazi yako mazuri..

    ReplyDelete
  2. kweli kabisa ant ezekiel make up imekufanya mzee sana iyo salon iliyopambiwa hawana vitu vizuri imeonekana kama bibi wa miaka 80

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...