Social Icons

Sunday, July 31, 2011

Ramadhani Kareem


NAWATAKIA MFUNGO MWEMA NDUGU JAMAA NA WADAU WOTE AMBAO NI WAISLAMU.NA KWA WENGINE AMBAO SIO WAISLAMU CHONDE CHONDE MAVAZI YENU YAWE YA STARA MSIHARIBU SWAUMU ZA WENZETU.

4 comments:

 1. 1-Bonge la shungi hata mke wa marehemu Osama hana.
  2-Kweli kinadada tuhurumieni na mjistiri kwa mavazi yaani ukipita tu K/Koo na kuona akinadada walivyovaa tayari ute wa chini na juu unaanza kutoka, biashara zote nnje nje .. Kwa kweli ni kuharibiana saumu tu.

  ReplyDelete
 2. Mojaone huyo ni mimi ndio
  Swaiba ila mameno yako makali punguza kidogo maana dah ni hatari.

  ReplyDelete
 3. Nitajitahidi kuwa na heshima na kutafuta maneno mazuri ili kupunguza hayo makali unayoyasema. Lakini piga uwa mi ni msema hovyo tu itabidi unizoee kama nilivyo (STREET BOY).

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...