Social Icons

Tuesday, August 30, 2011

SHUKRANI - A WORD OF THANKS!

NAPENDA KUTOA SHUKRANI ZA DHATI KABISA KWA WOTE AMBAO MNATEMBELEA BLOG HII YA MAJOY . YAANI NAFARIJIKA SANA KILA NIINGIAPO NAKUTA ZAIDI YA WATU MIA KWA  SIKU WAMETEMBELEA BLOG KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI DUNIANI.ENDELEENI NA MOYO HUO HUO NASHUKURU  SANA KWA SAPOTI YENU.
NAWAPENDA SANA.

LOVE,
MAJOY.

4 comments:

  1. TUPO PAMOJA, ILA JITAHIDI KUSOMA EMAIL ZAKO MAANA TUNAPOST ZINAKAA MPAKA SIKU TATU, PIA MIE NASHUKURU KWA KUTUSHUKURU. EID NJEMA.

    ReplyDelete
  2. Asante sana Mojaone kwa maoni yako ,yeah ni kweli huwa najisahau sana katika kusoma email hii yote ni kutokana na kuzidiwa na kazi hivyo kupata muda mdogo sana kwa blog.ila msijali soon nitakua very active on blog na hivyo kuwaletea raha mnayostahili.

    ReplyDelete
  3. Thank u very much d u r more than a friend

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...