Social Icons

Friday, September 30, 2011

INASEMEKANA..............

Magazeti ya udaku toka majuu ambayo ni maarufu kwa ufukunyuku wa  stori za chini ya kapeti za mastaa wa majuu yameripoti mtafaruku kati ya wanandoa wachanga Kim Kardashian na mumewe Kris Humphries kwa kile kinachosemekana ni tabia ya wacheza mpira wa kikapu kusema chochote anachofikiria hali inayoteta msuguano ktk ndoa yao.Hakijajulikana bado wanachogombania ....wadakuzi wa udaku wa mastaa wa majuu bado wanafatilia nikidata taarifa hizo nitawatupia hapa.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...