Social Icons

Wednesday, October 5, 2011

Good morning my dear friends


Nimewakumbuka sana wapenzi wangu muda huu.nipo katika maombi ya kuiombea Tanzania na familia.Namuomba mwenyezi Mungu awe pamoja na kila mmoja atakayesoma huu ujumbe ajue nimeomba kwa ajili yake.Mwenyezi Mungu ni mwema anajua haja za moyo wako na tayari analo jibu la matatizo yako.Acha kulalamika simama omba kwa ajili ya familia yako na Mungu atakujibu sawasawa na maombi yako.Nakutakia wakati mzuri.Mimi nalala sasa baada ya maombi haya na  kuwaombea wadau wote wa Majoy Blog.

1 comment:

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...