Social Icons

Friday, February 8, 2013

HAPPY 30TH BIRTHDAY MAJOY!!!!SIFA NA UTUKUFU NAMRUDISHIA MUNGU WA MBINGUNI KWA KUNISAIDIA KUIFIKIA SIKU HII YA LEO.NI SIKU AMBAYO NILIITAMANI SANA MIAKA 30!!!! ASANTE YESU WANGU NAJUA NI KWA NEEMA TU NIMEFIKA LEO.

SHUKRANI ZA PEKEE KWA WAZAZI WANGU KWA KUNILEA MPAKA LEO HII NATIMIZA MIAKA 30,SHUKRANI KWA MUME WANGU KWA KUENDELEA KUNILEA,KUNIPENDA NA KUNIHESHIMU, SHUKRANI KWA MARAFIKI ZANGU NA WOTE MNAOENDELEA KUNITIA MOYO NA KUNIOMBEA KATIKA MAISHA HAYA.

SHUKRANI ZA PEKEE KWA WAFUATILIAJI WOTE WA BLOG HII MUNGU AZIDI KUWABARIKI.

AM SO SO HAPPY TODAY,MAY GOD GIVE ME MORE YEARS TO CELEBRATE MY BIRTHDAY.No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...