Janeth na mwanae Michelle |
Salaam kwa wamama wote ulimwenguni, sisi ni wathamani sana Mungu alituamini na kutuchagua kuwa walezi wa familia,Nawaombea baraka na mafanikio katika siku hii kubwa na maalumu kwetu.Tuwe wenye kushukuru kwa yote tunayopitia katika kutimiza majukumu yetu ya umama.
Salaam za pekee kwa wamama bora ambao Mungu amenijalia kuoja mapenzi yao kwangu Mama Maganga na Mama Mhelela nawapenda sana.
Janeth -(Mrs Mathern Mhelela).
No comments:
Post a Comment
Thank you for your comment