Social Icons

Monday, May 14, 2012

HAPPY MOTHER'S DAY


Esher na mwanae Clarissa

Nawatakia heri na baraka na mafanikio wamama wote ulimwenguni,nawaombea maisha marefu ili waweze kutunza familia zao.Namshukuru Mungu kwa kunijaalia namie kuonja raha ya kuwa mama,nampenda sana mwanangu ndo kila kitu kwangu.Pia namshukuru mamangu kwa kunilea kwa kipindi achote alichoishi duniani,namkumbuka sana,Menyezi Mungu amrehemu na ampumzishe kwa amani.RIP mama.

Esha.


1 comment:

  1. RAHA YA KUWA NA MTOTO NI KUCHEZA NAYE, YAANI UNAJISHUSHA UMRI MPAKA KUFIKIA UMRI WAKE.

    HONGERA ESHER KAZA BUTI ULETE MNGINE KUMBUKA BIASHARA ASUBUHI JIONI NI MAHESABU TU NA UMRI UNAKWENDA.

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...