Social Icons

Tuesday, August 9, 2011

Namtegemea sana binti yangu kuliko mume wangu..........

Mwanamuziki wa zamani wa kundi la Spice Girl Mel B amesema anamtegemea sana binti yake Phoenix siku atakapopatwa na uchungu wa kujifungua kuliko mumewe sababu alishajaribu kujifanya yuko ktk hali ya uchungu na mumewe akachanganyikiwa bila kujua cha kufanya.Anasema,''Atachanganyikiwa na kuwapeleka ktk hospitali ambayo si sahihi''.
Mel B aliyasema hayo katika mahojiano na jarida la Hello.

Mel B said she expects her daughters to be more help than her husband when she gives birth to her third child

Mel B ambae ni mama wa watoto wawili Phoenix na Angel anatarajia kujifungua kwenye Clinic ambayo Victoria Beckham aliitumia alipojifungua mwanaye wa mwisho Harper Seven.

Kila la kheri mrembo na Mungu akupe wepesi ktk siku hiyo kubwa unayoitarajia.

Majoy

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...