Social Icons

Tuesday, August 9, 2011

RED ROSE PUB


UNAKARIBISHWA KATIKA KIOTA TAJWA HAPO JUU KILICHOPO MAENEO YA TABATA MAGENGENI.UTAPATA HUDUMA NZURI KUTOKA KWA WAHUDUMU WACHANGAMFU HUKU UKIPATA MZIKI MWANANA.VINYWAJI AINA ZOTE VINAPATIKANA.

RED ROSE PUB inavyoonekana kwa nje

VERONICA MAHILA mmiliki na msimamizi mkuu wa RED ROSE PUB

RED ROSE PUB inavyoonekana kwa ndani
(Samahani kwa usumbufu picha hazionekani vizuri sana)

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA 0712 933427 / 0787 298373.
KARIBUNI SANA.

5 comments:

 1. Hongera sna my... tupo pamoja

  ReplyDelete
 2. INAONEKANA MAMBO YANAKUBALI,PIGA UWA NITAFIKA KUMUONA VERO.

  ReplyDelete
 3. JOY .. KWA SISI WANYWA KONYAGI PORI SIJUI ZINAPATIKANA HAPO??, MAANA UMESEMA VINYWAJI VYOTE VIPO.

  ReplyDelete
 4. VERO .. UKINIONA NIMEFIKA HAPO UJUE NAFATA HILO TABASAM, KTK TABASAM HUNIDANGANYI KITU.

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...