Social Icons

Friday, August 5, 2011

NAYAKUMBUKA YOTE - HOYCE TEMU


Aliyekuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu akichangia mambo muhimu kuhusu kitabu chake katika tamasha la PEN & MIC lililofanyika katika mgahawa wa Saffron uliopo kwenye jengo la Quality Plaza.


Mrembo wa Tanzania 1999 Hoyce Temu katika picha ya pamoja na Mrembo wa Tanzania 2002 Angela Damas


Majoy.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...