Social Icons

Thursday, August 4, 2011

Ramsey Noah Anusurika Kifo

Actor toka Nigeria,Ramsey Noah amenusurika kifo baada ya kuanguka toka ghorofani wakati ana shoot movie mpya akiwa nchini Ghana.Ramsey alikua on set na actors Nana Ama McBrown,Beverly Afaglo,Roslyn Ngissah,Nana Hayford wakiwa wnajiandaa Hotel Babylon,Where Clothes Are Naked chini ya directer Kobi Rana,Na alianguka toka kwenye ghorofa na inasemekana Ramsey ameumia kwa ndani aka internal bleeding baada ya kulalamika maumivu ya tumbo huku akitoka damu mdomoni na kupewa huduma ya kwanza fasta kabla ya kupelekwa hospitali jijini Accra
Ramsey alishawahi kupata ajali ya pikipiki mwaka 2007 na kufunguka kuwa ajali hiyo ni kama nyingine na kusemekama kuwa ameweka jino la bandia baada ya ajali

Shukrani za Pekee: Fotobaraza

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...