Social Icons

Thursday, September 8, 2011

Je wewe ni wa V.I.P Class???

Hey kwa wale wa Tanga wenzangu usafiri uooooo tena wa kisasa basi laitwa Shilingi V.I.P Class  kwa wale wanajijua wao ni ma V.I.P basi hawatakosa kusafiri na mabasi ya Shilingi.
usafiri ni kila siku kutoka Dar es Salaam kwenda Pangani Tanga.
BaSi litaondoka Dar es Salaam saa mbili na nusu (08.30)asubuhi KILA SIKU.

Shilingi V.I.P Class.........Mabasi ya kisasa kabisa!!

Shilingi VIP Class inavyoonekana kwa mbele

Kwa ubavuni  kitu cha kisasa hakuna kulala njiani...
Kitu hicho kwa ukaribu kwa ma V.I.P kama wewe
Chezea Shilingi weye hapana mchezo mabasi mapya na ya kisasa ya Shilingi ndo mpango mzima kwa muendao Pangani Tanga ya nini kucheleweshwa njiani kwa kupanda mabasi yaliyochoka wakati mabasi mapya ya Shilingi yapo???

Kwa wale tunajua Class zetu kuwa ni V.I.P basi usafiri wa kutufikisha TANGA ni SHILINGI VIP CLASS KWA USAFIRI WA RAHA NA USALAMA.
KWA MAELEZO ZAIDI NA KUFANYA BOOKING PIGA SIMU ZIFUATAZO: 0713 197559 / 0653999987

1 comment:

  1. NAULI JE??

    SISI WALALA HOI KWELI TUTAZIWEZA HIZO SHILINGI .. KULALA NJIANI WAKATI MWINGINE HAKUKWEPEKI KUTOKANA NA PESA ULIYONAYO.

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...