Social Icons

Wednesday, September 28, 2011

MABADILIKO KATIKA BLOG

NAPENDA KUTOA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KABISA KWENU WOTE AMBAO KWA NYAKATI TOFAUTI MMENIPA USHAURI WA JINSI YA KUENDELEZA NA KUIBORESHA MAJOY  BLOG NA KUIFANYA TOFAUTI KABISA NA MALENGO YANGU NILIPOIFUNGUA.
WAKATI NAIANZISHA WAZO LANGU LILIKUA MOJA TU KUTANGAZA KAZI ZANGU KIBIASHARA NA KIKULIMA AMBAZO NITAANZA KUZIRUSHA HIVI KARIBUNI ILA KUPITIA USHAURI WA WATU WANGU WA KARIBU AMBAO WAMEKUA NAMI HATUA KWA HATUA TANGU NIMEANZA WAMENISHAURI KUFANYA MABADILIKO HAYA MNAYOYAONA KATIKA BLOG. NI MATUMAINI YANGU SASA TUTAKWENDA SAWA HASA KWA WALE AMBAO WALIKUA WANASHINDWA KUTUTUMIA HABARI MBALIMBALI KWA SABABU BLOG ILIKUA IMELENGA UPANDE MMOJA TU KUTOKANA NA PICHA  YA BLOG.
NATHAMINI SANA MAWAZO NA USHAURI WENU WAPENZI TAFADHALINI NAOMBA SANA MZIDI KUNISHAURI  NA KUTUMA MAPENDEKEZO  KUPITIA majoy28@hmail.com au UJUMBE KUPITIA FACEBOOK KWA http://www.facebook.com/majoyy
NAWAPENDA SANA.


4 comments:

 1. All da best gal sky is da limit Joy I love what ur doing for ur life.

  ReplyDelete
 2. ASANTE KWA TASAMU LAKO TAMU.

  TUPO PAMOJA.

  ReplyDelete
 3. I love the new look Joy. ile picha ilikua iko ki urembo zaid.
  Big up

  ReplyDelete
 4. Thanks all for the comments and advice....i appreciate.God bless u all

  Majoy.

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...