Social Icons

Monday, September 12, 2011

Ni huzuni kubwa sana kwa Taifa na Watanzania wote kwa ujumla waliopo visiwani na bara kwa kuwapoteza wapendwa wetu katika ajali ya meli iliyotokea huko Zanzibar katika pwani ya Nungwi. Mwenyezi Mungu mwenye rehema awape moyo wa subira na faraja wale wote ambao wamefikwa na msiba huu mzito kwa taifa. Majoy blog inatuma salaam za pole kwa wananchi na serikali ya Mapinduzi Zanzibar na tunawaombea sana. Bwana alitoa naa Bwana ametwaa jina la Bwana Libarikiwe. Amen.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...