Social Icons

Tuesday, October 25, 2011

GENEVIEVE USO KWA USO NA CHRISTIAN LOUBOUTIN

Genevieve akiwa na French Luxury Shoemaker Christian Louboutin designer anaewachengua maduu wa ki-TZ na kwingineko ulimwenguni sana sana kwa viatu vyake vyenye hadhi ya kisupastaa ambavyo vinaongoza katika soko kwa kuuzwa bei mbaya.Pichani 'JUU 'ni baadhi ya viatu maarufu sana siku hizi vyenye chata ya designer maarufu na expensive sana anaekwenda kwa jina la Christian Louboutin(CL).


HUYO NDO BWANA MKUBWA MTAALAMU ALIYEVUMBUA  KITU CHA CL aka UNYAYO MWEKUNDUUU!!


2 comments:

  1. babu huyu ndio katuanzishia balaa la sii elo? mweeh babu wee mbona umeleta balaa mujini? babu una makusudi weyeee

    ReplyDelete
  2. HAHAHAHAAAA MWENZANGU TENA BALAA KUBWAA!!! SII ELO NDO SII ELO MWEH!!

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...