Social Icons

Wednesday, May 16, 2012

JE WAJUA KAMA BINZARI NI DAWA????


Kwa mujibu wa wataalamu wa maswala ya chakula na dawa wanathibitisha kuwa binzari au tumeric kwa lugha ya kigeni ni dawa inayoweza kukukinga na kukuweka mbali kabisa na ugonjwa wa kansa.
Zamani wakati nakua nilikua nikimuona mama akiitumia sana hii kwenye mchuzi au wali ili kuongeza ladha na kuleta mvuto kwa chakula au mboga yake.
Sijui kama siku hizi kuna watu bado wanaitumia ila mimi binafsi naitumia sana na ninaipenda sana.na nitaitumia zaidi baada ya kujua kuwa ni dawa pia na kinga ya magojwa mbalimbali ikiwemo kansa.

Kwa habari zaidi kuhusu umuhimu wake ingia hapa:-


No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...