Social Icons

Tuesday, October 4, 2011

UNAMKUMBUKA MR. BEAN????

Familia ya Rowan Atkinson

Lily binti wa Mr. Bean....ni mrembo sana!!

Mr. Bean akiwa na bintiye anaeitwa Lily na mkewe

Ni mchekeshaji wa siku nyingi sana ambae ni mmoja kati ya wachekeshaji wanaopendwa sana na watu wa rika zote.Leo nimekutana na picha ya familia yake nikaona nishee na nyie kwani najua wengi tunampenda Mr. Bean ambae jina lake halisi ni Rowan Atkinson.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...