Social Icons

Tuesday, October 4, 2011

TAFRIJA FUPI YA KUWAPONGEZA ESTER NA CUTHBERT KWA KUFUNGA NDOA

Ilifanyika Jumapili ya tar 02/10/11 pale Namanga katika mgahawa wa Nyumbani Lounge.

Mr&Mrs Cuthbert Angelo Kajuna

Ester akiingia Nyumbani Lounge kujumuika na marafiki

Maggie rafiki kipenzi wa Ester na Cuthbert

Kulikua na keki taaaamuuuu balaaa ......natamani ungekuwepo uonje!!
Majoy na wahusika wakuu wa tukio lol!!

Mimi ,Violeth pamoja na Cuthbert na mkewe

Majoy na rafiki yake Hilder

Kutoka kushoto anafahamika kwa jina la Lema akiwa na dada Hilder pamoja na bw&bibi CA

Marafiki wakitabasamu pamoja na Ester

Marafiki pamoja na wanandoa wapya

Ester,Faraji n Cuthbert

Majoy

Hayo ndo yaliyojiri katika get together luch ya kuwapongeza marafiki wetu Cuthbert na mkewe Ester kwa kufunga pingu za maisha.Majoy blog inawatakia maisha mema ndoa.

1 comment:

  1. asanteni sana kwa sherehe mliyotuandalia, tulienjoy sana, u real care about us, mbarikiwe sana

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...