Social Icons

Monday, November 14, 2011

Miaka Hamsini Ya Uhuru- Kaz ni Kwenu!Heheheheheee kila mtu na wake
Wajanja wa mtaa
Mtajuaje kama ana redio????
Brazamen wa enzi hizooo…

__._,_.___
Haya kazi kwenu mi nimecheka mpaka kichwa kinauma. Kwa wenzetu mtiokuwepo enzi hizo hebu tumeni majina ya
fasheni za nguo na viatu kama ilivyojulikana wakati huo.

Kwa mtazamo wangu fasheni tunazojidai nazo sasa nyingi ni marudio kutoka huku je? 


Ma-designer wetu wa leo wanabuni au
Wanarudia za zamani na kuzipa jina jipya????

NIPE MAONI YAKO MDAU…..


 

1 comment:

  1. kwasasa tuna copy na kupaste, ndo maana nikasema kama ni hivyoooooo, hata mimi ni designer, huwa nikicheck ngu za mama za wakati uleeeeeeeee, aiseeeee tunaiga kule kabisaaaaaaa

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...