Social Icons

Tuesday, November 15, 2011

SONG OF MY CHOICE......

Hey wapendwa wa Majoy Blog nawatambulisha segment mpya itakayokupa nafasi wewe mpenzi na mfuatiliaji wa blog hii kupendekeza wimbo wowote uupendao na kuudedicate kwa uwapendao nami nitautafuta na kuuweka pamoja na salamu zako kila siku ya Jumanne.Karibuni sana wapendwa wangu nitafurahi sana kusikia kutoka kwenu.

KUCHAGUA WIMBO NA KUTUMA DEDICATION RUSHA HAPA majoy28@gmail.com

Leo mi naanza kwa wimbo wa MARTHA MWAIPAJA - KWA MSAADA WA MUNGU TUNASONGA MBELE.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...