Social Icons

Tuesday, January 17, 2012

Derrick's Baptism on Christmas Day!!

Tarehe 25/12/2011 mwanangu wa pekee Derrick alibatizwa rasmi na kuwa mmoja kati ya watoto waliozaliwa upya ndani ya Kristo.
Ilikua ni nyumbani kwa mama yangu mjini Morogoro.
Yafuatayo ni baadhi ya matukio katika picha yaliyojiri siku hiyo......

Mie na mwanangu Derrick Nje ya Kanisa la Anglican maeneo ya Mzinga Jeshini


My Prince Derrick


Hapo kakutilia pozi la 47's la kushika ua!!!


Mdogo wangu Josephine akiwa na wanae Derrick na Shedrack


Wakati Ibada inaendelea.....

Tukiimba na kucheza  wimbo wa sifa kabla ya ubatizo
Derrick na wasimamizi wake /wazazi wake wa kiroho Mariam na Silvester


Wachungaji wakiongoza Ibada ya ubatizoDerrick akiwa amelala


Hapo nikisikiliza kwa makini neno la Mungu wakati wa mahubiri


Josephine na Mariam Mahila


Tukishiriki meza ya bwana


Mama yangu na familia yake
Derrick wakati anabatizwa

Derrick na baba yake wa ubatizo

Tukiimba wimbo wa shukrani baada ya ibada ya ubatizoFamilia ya Mahila ....mama, watoto,wajukuu na wasaidizi


Nadekaaaaa mtoto kwa mama hakui

Mie na cousin yangu ambae pia ndie Godfather wa mwanangu Derrick


Mie na wanangu

Kekiiiii

Derrick akidokoa keki yake hapo alikua anaona anachelewaaa
  
Kula mjukuu wangu!!

Bibi kula na weweee
Mama akilishwa!

Mdogo wangu Mariam ambae pia ni Godmother wa Derrick


Dada yake akilishwa keki


Baadhi ya vyakula vilivyoandaliwa siku hiyo....natamanijeee!!

Kipengele muhimuuuuu


Kaka mtu hakupitwa na wakati maalumu

D akijisevia menu


Hahahahaaaaa yani nacheka kila nikiiona hii picha mwenyewe katulia na viatu oversize!!!

Nikiombea chakula...kusali najua sanaaaa!
Baadhi ya marafiki wa marehemu baba yetu Mzee Mahila ambao pia ni viongozi wa kanisa la Mzinga

Tukipozi na mama yetu..

Mh.Joyce Mahila wa jimbo la Handeni

Derrick na watoto wenzie....mcheki alivyotulia

First born n Last born wetu Ester


Mama na majirani zake wa nyumbani kwetu Misufini mjini Morogoro

Magreth na D

Ma-Engineer kazini


Hivi kwa nini watoto wanapenda kuvaa viatu vya wakubwa??

Ki-Afrika zaidi!

Asanteni kwa kunisoma

6 comments:

 1. HONGERA jOY, HONGERA SAMEER MUNGU AMLINDE

  ReplyDelete
 2. hongera mama na mtoto,nakujua ingawa hunijui

  ReplyDelete
 3. hONGERA mAJOY KUMBE UNA MTOTO MKUBWA HIVYO.MASHALAAA MUNGU AKUKUZIE.

  ReplyDelete
 4. kumbe na wewe umezaa? hongera?

  ReplyDelete
 5. Asanteni wapendwa wangu mbarikiwe nanyi pia.Erick nikumbushe tuliwahi onana au niaje.asante kwa kutembelea blog ya Majoy

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...