Social Icons

Monday, January 16, 2012

HAPPY NEW YEAR 2012 WADAU WANGU....Ni muda mrefu sana umepita hatujawasiliana tangu mwaka uanze na kabla ya mwaka kuisha.Ni mengi yamepita yakiwepo ya furaha na huzuni. Katika yote hayo namshukuru Mungu kwa sababu ameninilinda mimi na familia yangu na kutupa tena nafasi ya kuuona mwaka huu mpya wa 2012. Natumaini na wewe pia mdau wa Majoy Blog upo salama. Nakutamkia Kheri,Baraka na Mafanikio kwa mwaka huu mpaya na Mungu akuongoze katika kila jema utakalofanya kwa mwaka huu. Tuendelee kuwa pamoja.

HAPPY NEW YEAR WADAU BURUDIKENI NA WIMBO HUO KUTOKA KWA ABBA.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...