Social Icons

Monday, January 30, 2012

HONGERA SANA TWIGA STARS......

Jana ilikua siku ya furaha sana kwa wa Tanzania especially we ladys kwa ushindi wa magoli 5 kwa 2 waliyofunga wachezaji wa timu ya wanawake ya Tanzania TWIGA STARS dhidi ya NAMIBIA.

SPEIAL CONGRATULATIONS FROM MAJOY BLOG....U made my day yesterday!!
Go go TWIGA STARS sky is de limit...


No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...