Social Icons

Thursday, October 18, 2012

HATIMAE AUNT EZEKIEL AFUNGA NDOA!


Aunt akiweka sahihi kwenye cheti cha ndoa

Umependeza dia mashallah ukatulie huko usimtie aibu somo wako
Aunt akifurahi na marafiki zake siku ya ndoa yake

Hongera bibie kwa kuyaana maisha mapya ukiwa mke halali kabisa wa
Sundey Demonte.Ukawe mfano bora kwa wasanii wenzio na kamwe usiwe kama
mwanamke mpumbavu anaevunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
All de best in your marriage life.

--
Majoy

5 comments:

 1. AUNT EZEKIEL ..KTK NDOA YAKO USIWE KAMA MPIRA KUGUSWA NA KILA MTU.

  MBONA PICHA ZA BW HARUSI HAUKUZITOA??

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mojaone mume yupo ila mwenyewe katoa hizo tu.....nikimpata nitamrusha hapahapa keep on visiting.

   Delete
 2. Hongera zake kama kweli mana huchelewi kusikia hiyo ni muvi

  ReplyDelete
  Replies
  1. Yote yanawezekana lakini tutasikia tu tuendelee kungoja.

   Delete
 3. Every weekend i used to pay a quick visit this web site, as i want enjoyment, as this this web site conations really fastidious funny material
  too.

  My weblog: credit card cash advance calculator

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...