Social Icons

Wednesday, January 25, 2012

SALAAM ZA J5!


NINA KILA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU KWA MAMBO MAKUBWA NA MAZURI ANAYONITENDEA.NASHUKURU PIA WADAU WANGU WALE WOTE MNAONIOMBEA MEMA.MNANIPA NGUVU SANA YA KUSONGA MBELE.
NAWATAKIA SIKU NJEMA.

11 comments:

 1. mmmh mekap imetulia looh,u look mwaa majoy ,Mungu akubariki na kukulinda na mabaya yote.Aimeen

  ReplyDelete
 2. Asante sana my dia hapo nilikua najaribu kujiremba kama bi harusi..hahahahaaa!!

  ReplyDelete
 3. Kumbe maiti siku hizi zinaandika kweli wee mkareee @Moja

  ReplyDelete
 4. Majoy upo cute napendaga tabasamu lako umejaaliwa mashalaahh

  ReplyDelete
 5. MTOTO UMEUMBIKA ULIENAE USIMUACHE NAMUUNGA MKONO MOJAONE KIFUA CHAKO SI MCHEZO.NIKIKUPATA NAUZA NYUMBA WALAHI

  ReplyDelete
 6. umependeza sana duh heren matata

  ReplyDelete
 7. KAMA WEWE UTAUZA NYUMBA, BASI MIE NISIE NA NYUMBA SIWEZI KUJENGA KABASA, LKN HATA HIVYO MJANJA MMOJA KISHATUTIME, KWA HIYO NDUGU YANGU TUTAJIJUU..

  ReplyDelete
 8. ALLAH KUMBE ULIKUA HUJUI BASI JUA SASA @ANONYMOUS 2:47 PM

  ReplyDelete
 9. Hahahahaaa mnanichekesha sana kwa comment zenu ...asanteni sana kwa kutembelea blog.tuendelee kuwa pamoja.

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...