Social Icons

Tuesday, March 13, 2012

MOMENTS TO REMEMBER......

Event: Monitoring & Evaluation Survey
Place: Ngara-Kagera
Sponsor:Concern Worldwide-Tanzania.

Hii ilikua siku ya kuondoka toka Ngara-Mwanza na baadae Dar baada ya kumaliza field Ngara,Biharamulo na vijiji vyake.Nawamiss sanaaaaa  jamani i wish tukutane tena kwenye field kama hiiGals i miss u (Franella Halla na Gloria)Majoy na moja ya familia ambazo tulizitembelea tukiwa Nyakanazi nakumbuka huyu mama alikua anaitwa mama Joyce alinipenda coz nna jina kama la mwanae!!

Jumba la Dhahabu!!! hii ilikua ni Kabanga

Hii lodge inaitwa Wateule kama sikosei ipo njiani kabisa karibu na boda ya Burundi hapo Kabanga

Uuuuwiii siku hii sitaisahau nilichoka nikahisi nakufa wakati huyo mtoto ndo alikua mwenyeji wangu akinishangaa nilipanda mlima mkubwa sana kijiji kinaitwa Murugina-Ngara huko bondeni kabisa mpakani mwa TZ na Burundi

Tulipokua tunalala tukiwa Kabanga

Kwa misosi dada yenu ndo mwenyewe hapo unaliwa wali kuku wa kienyeji!!

Kikazi zaidiMajoy Kazini

Judges,Remija na Justina nawamiss sanaa!Hili soko lipo kijiji chaitwa Bukirilo tulikula mihogo mibichi mnoooo...chezea njaa ya field wewe!

Cheki hilo sufuria ila tulikula yani namiss field sana no udada duu!!!


Nje ya office ya Concern Worldwide - Ngara hapo tukijiandaa kwenda Biharamulo kwa field.


Majoy na Admin wa Concern Ngara Jamila


Nyakanazi hiyo!!

Mkungu i miss u babaVV ulifanya field iwe ya kuvutia sana hata tulipocheka bado tulikua na nguvu ya kucheka!!

Wadau wa miradi ya Concern Worldwide


Nyakanazi hiyo...Mradi huu ulifadhiliwa na Shirika la Concern Worldwide.

Aisee Mangi ukibahatika kuona hii nimekumiss sana Samson...Hii ilikua siku ya mwisho ya kumaliza field tulichoka mpaka roho!!

Lunch ya kupongezwa baada ya kumalizia field!!

Jamani picha ni nyingi sana leo nilikumbuka sana hii visit sababu nilifika sehemu ambazo hata sikutegemea kufika.Hope mme-enjoy hii ilikua Oct-Nov 2010.

Special thanks kwa Concern Ngara Team.

Majoy.6 comments:

 1. CONCERN NAWAJUA SANA.PICHA NZURI MAJOY

  ReplyDelete
 2. wow nimefurahi kuwaona mabesti zangu nella na gloria.mlipendeza japo mlikua porini.majoy napendaga unavyosmile.

  ReplyDelete
 3. Kumbukumbu nzuri hongera kumbe upo Concern???

  ReplyDelete
 4. Nice collection,congrats ma'

  ReplyDelete
 5. Inapendeza sana ukiwa na kitu cha kukumbuka katika maisha yako.
  Endelea kutunza kumbukumbu zaidi

  ReplyDelete
 6. Guys asanteni sana.nawapenda sanaaa

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...