Social Icons

Thursday, March 22, 2012

THE WAITER......Coming Soon!!!

Baadhi wa washiriki wa filamu ya ki-Bongo(The Waiter) inayotarajiwa kuwa gumzo kutokana na ubora wa utayarishwaji wake kuwa wa kiwango cha juu huku washiriki wake wakiwa ni wakali katika maswala ya filamu.Filamu hiyo ipo katika hatua za mwisho za uandaaji na inatarajiwa kuingia sokoni siku kadhaa zijazo.

  Baadhi ya washiriki katika picha......  
Moja kati ya scene zilizopo kwenye movie ya The Waiter
  

Esher na Jerry wote wapo ndani ya huo mzigo wa The Waiter...Si ya Kukosa!!!Absolutely Beautiful....

Mrembo huyu ni mmoja kati ya warembo waliokamua mnoo ndani ya The Waiter....


Esher na Ben Kinyaiya

My lovely friend Esher
Masanja wa original comedy na warembo walipo kwenye The Waiter

Endelea kutembelea Blog kwa habari zaidi juu ya filamu hii na pia kuona 'promo'....


1 comment:

  1. JOY .. IKITOKA TU NIFICHIE COPPY MOJA, YAANI NATAKA KUMUONA ESHER KWANI KWENYE PICHA NI MOTO USIOWEZA KUSOGELEWA.

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...