Social Icons

Tuesday, June 19, 2012

KILICHOMTOA MNYIKA NJE YA BUNGE LEO..John Mnyika akisindikizwa na askari wa bunge. (picha kutoka issamichuzi.blogspot.com)
Mbunge wa Ubungo John Mnyika kwa ruhusa ya Chadema ametolewa kwenye bunge leo kutokana na kukataa kufuta kauli aliyoitoa iliyosema ‘tumefika hapa tulipo kwa sababu ya udhaifu wa Rais Jakaya Kikwete, kwa sababu ya wabunge na bunge, na tumefika hapa tulipo kwa sababu ya upuuzi wa CCM’
Kwa habari zaidi sikiliza Amplifaya ya Clouds Radio leo  kuanzia saa moja usiku.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...