Usione una tumbo kubwa ukajua ni afya hiyo hapana, hilo ni tatizo tena sio tatizo moja ni mengi yanakuja kukulaza chini na kukufanya uwe mtumwa wa dawa na hospitali huku kitanda na kocho vikikusubiri uvitumie sana tu kwa kuwa ndio utakuwa unashinda hapo, madhara ya unene ni:
1. U.T.I
2. Saratani ya Utumbo
3. Vidonda vya Tumbo
4. Shinikizo la Damu
5. Kisukari
6. Kukosa choo au kufunga choo (constipation)
7. Figo kushindwa kufanya kazi vyema
8. Matatizo ya Moyo
9. Kukua kwa Tezi Prostrate (Prostate Gland)
10. Kiharusi
11. Ngiri
12. Magonjwa ya ngozi
13. Unene uliopindukia
14. Lehemu
15. Harufu mbaya mdomoni na mwilini
16. Kiungulia
17. Acid (nimesahau kwa kiswahili !!)
Kuepuka haya, pamoja na kula chakula bora, ni muhimu tukawa na desturi ya kusafisha mfumo wetu wa usagaji chakula mara kwa mara, wasiliana nami ili nikuoneshe bidhaa zitakazo kusaidia kusafisha tumbo. Usijidanganye eti nafanya zoezi, nakula vizuri, nakimbia kila siku, siumwi, mimi napata choo kila siku cha wastani gani? kina rangi gani? kina shape gani? maana haya yote yana maanisha kitu katika tumbo lako, nakushauri usikariri maisha, na wala usidharau ushauri wangu huu, wasiliana nami kwa namba +255 753 298373 / 718 464535 ili nikupe darasa kamili juu ya afya yako.
Tumbo linaingiza vitu vizuri na huwa tuna viagiza wenyewe kwa furaha tunakula, lakini ukiingia chooni ukamaliza shughuli ile hutaki hata kugeuka kwa jinsi vilivyo na harufu mbaya, rangi mbaya na wata hutaki kuona, sasa nikuulize swali. Hivi kama pipa la taka linatoa wadudu, na ulitupa chakula humo je tumbo linakuwaje?
Tumia:
1. Shake Off Phyto Fiber
2. Splina Liquid Chlorophyll
Haraka sana ndugu yangu uepuke magonjwa ya tabia na mengine mengi kama nilivyokutajia hapo juu.
Kuna wengine wanaumwa kichwa tu bila sababu, tatizo ni tumbo
kuna wamama au wadada homoni zinakuwa hazija balance wanapata hedhi bila mpangilio au kutopata kabisa ni tatizo tumbo pia na mengine mengi.
NB: Wasiliana nami kwa namba hizi +255 753 298373 / 718 464535 kama utahitaji.
Maelezo kwa Hisani ya Buberwa Robert na nyongeza toka kwangu, mtembelee Buberwa kwenye blog yake http://buberwarobert.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Thank you for your comment