Social Icons

Tuesday, September 4, 2012

Tukio Mazishi ya Mwandishi wa Habari wa Chanel 10 Daudi Mwangosi kijijini Kwao Itete Tukuyu Mkoani Mbeya Wawakilishi Mbalimbali wakitoa salam za Pole kwa ndugu wa Marehemu
 Mwakilishi wa Chanel Ten Hamis akitoa pole katika msiba huu muda huu

 Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akitoa pole zake kwa wafiwa 
 Mwanaharakati Francis Godwin akielezea Jinsi Mauti yalivyo mkuta Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi

Rais wa UTPC Kenny Simbaya ambaye pia ni kiongozi wa msafala wa kuleta Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi akiwa anatoa salam za Pole kwa wafiwa.
Dr  Slaa akitoa pole kwa wafiwa wote Muda huu


Wakina mama wakiwa wenye majonzi makubwa sana na huzuni muda huu

Tukio zima Linaletwa kwenu na Tone Media Live Group... Endelea kufuatilia 

PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...