Dear friends of Majoy Blog,
Kwanza kabisa ningependa niwashukuru kwa kuendelea kutembelea blog
pamoja na kuwa kimya kwa muda mrefu.
Asanteni pia kwa mlionitumia msg fb na mail kuniulizia baada ya kuona
kimya kimezidi;niwatoe mashaka kwamba mimi ni mzima kabisa tatizo ni
muda wa kutulia na kupanga nini cha kuposti ndio ninaokosa kwa sasa
sababu ya kazi nyingi kunielemea ila nawaomba sana muendelee
kunivumilia kwani hivi karibuni nitarejea kufanya kazi kama kawaida
kwa ajili yenu wadau wangu.
Mwisho niwatakie sikukuu njema ya Noeli( Christmas) kwa wale
tunaosherehekea tukumbuke kusherehekea kwa kiasi bila kufuru.
I wish u all a very Happy and Peaceful Christmas!!
May Jesus Christ be
born in your hearts...Amen
--
Majoy
No comments:
Post a Comment
Thank you for your comment