Social Icons

Wednesday, January 2, 2013

MAPENZI YA DHATI NA KUSAIDIANA.......

Kusaidiana ni muhimu ili kufanikisha malengo mliyojiwekea hasa kwa
wanandoa au wale mlio kwenye mahusiano ya kudumu.

Mkipendana kwa dhati na kuwa bega kwa bega kwa kila mnachofanya nina
hakika kila mtakalopanga litafanikiwa kwa haraka na wepesi.

Shirikianeni kwenye kupanga malengo ili mtakapoanza kuyatimiza asiwepo
wa kulalamika.

Na katika kila mpangalo msiache kumshirikisha Mungu kwani yeye anajua
haja za mioyo yetu na anajua mahitaji yetu hata kabla hatujaomba.

Muwe na siku njema na Mungu awabariki.

NB: Samahani kwa ubora wa picha ni clip ya kwenye simu.

Kwa maoni,ushauri au changamoto,
Tuandikie kupitia... majoy28@gmail.com

1 comment:

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...