NAPENDA KUTUMIA FURSA HII KUTOA SALAAM ZA POLE KWA FAMILIA,MARAFIKI NA
WOTE WANAOHUSIKA NA MSIBA HUU.
NI VIGUMU KUKUBALIANA NA UKWELI HUU LAKINI ILI ANDIKO LITIMIE
INATUPASA KUSHUKURU KWA KILA JAMBO KWA MAANA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.
POLE SANA WASTARA UCHUNGU ULIONAO HAKUNA ASIEJUA KWA JINSI
ULIVYOHANGAIKA ILI MUMEO KIPENZI APONE ILA MUNGU AMEONA VEMA KUMTWAA
ILI AMPUMZISHE.NAKUOMBEA KWA MUNGU UPATE UJASIRI WA KUSTAHIMILI
MAUMIVU YA KUONDOKEWA NA MPENDWA WAKO.
POLE KWA TASNIA YA UIGIZAJI BONGO KWA KUONDOKEWA NA MFANYAKAZI
MWENZENU MANA NI JUZI TU MMEWAPOTEZA WENZENU WENGINE NA LEO
SAJUKI...MUNGU AWAPE FARAJA KATIKA WAKATI HUU WA MSIBA.
POLE KWA WATANZANIA HASA WAPENZI WA FILAMU ZA KIBONGO MIMI NIKIWA
MMOJA WAO.TUTAMMISS SANA SAJUKI...
BWANA ALITOA,BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
(PICHA NA GPL)
Kuwasiliana nasi,Tuandikie kupitia...majoy28@gmail.com
No comments:
Post a Comment
Thank you for your comment