Social Icons

Saturday, March 23, 2013

HAPPY 17TH WEDDING ANNIVERSARY TO OMOTOLA J. EKEINDE & HUBBY CAPTEIN MATHEW IKEINDE

Mwigizaji maarufu ambae pia ni Mwanamuziki wa Nigeria Omotola maarufu kama Omosex leo yeye na mume wake wanatimiza miaka 17 tangu kufunga ndoa.

Kwa mijibu wa vyombo vya habari nchini kwao hasa magazeti na blog wamemnukuu Omotola akimsifu mumewe kuwa ni mume bora na zaidi ni rafiki na baba pia tangu baba yake mzazi afariki dunia miaka mingi iliyopita.

Imeelezwa kwamba leo ni siku ya kuzaliwa kwa mume wake huyo ambapo miaka 17 iliyopita siku ya kuzaliwa ya mume wake kama leo ndoa yao ilifungwa.

Majoy Blog inawatakia mafanikio mema katika kila wanachofanya kwenye maisha yao ya kila siku.

Happy Birthday Captein Mathew Ikeinde and Happy anniversary to the couple.

Moja kati ya Tweet za Omotola kuhusu anniversary yao:-

"17yrs ago, on your birthday we got married! Remember it like yesterday! The Best husband, Best father and my Best friends. Life with you is fun!"Joyce Mahila. Marketing Manager. Nitramek Investment. Lusaka Zambia

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...