Social Icons

Friday, August 26, 2011

RAMADHANI KAREEM FROM MDAU NAMBA 1 - MOJAONE

Ramadhani ni full raha, mkusanyiko wa kifamily wakati wa kufuturi ni kati ya mambo machache kabisa ambayo yanapatikana katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani tu, kwani familia nzima mnajikuta mko pamoja karibu kila siku.

Katika nchi nyingi za kiarabu system ya Ramadhani huwa kama ifatavyo, kwanza kabisa ni kubreak saumu, familia hukusanyika kabla ya magharibi na baada ya kusikia adhana ya magharibi huanza kula tende, matunda, kunywa kahawa na maziwa kisha huenda kusali salaat magharibi na kurudi kuanza kula vyakula vizito kama vile ftari, chapati na vinginevyo kisha huenda kusali salat al-isha na tarawehe na baada ya hapo huwa wapo free kwa mambo mengine.Pichani ni maandalizi kabla ya kubreak saumu!

Habari na picha shukrani kwa
Mdau Mojaone
Oman.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...