Social Icons

Monday, March 25, 2013

TUJIHADHARI NA MANABII WA UONGO!


Kwa wale wenye imani kama yangu(WaKristo) tunasoma kwenye Biblia kwamba siku za mwisho kutakua na mambo mengi sana yatakayotokea kuashiria mwisho u karibu!!

Mambo kama haya kuwepo na manabii wenu watakao tumia Jina na Yesu kinyume,watu kupenda pesa kuliko kumpenda Mungu,Watu kupenda pesa,mauaji ya kutisha na vita vya wenye kwa wenyewe.

Ndugu zangu tunmuombe Mungu sana kila mtu kwa imani yake maana hali ni mbaya. Tuwe makini sana na haya makanisa yanayohubiri miujiza kila siku.


Joyce Mahila. Marketing Manager. Nitramek Investment. Lusaka Zambia

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...