Social Icons

Monday, March 25, 2013

AKUFAAE WAKATI WA DHIKI NDIYE RAFIKI WA KWELI....


Msemo huu umedhihirika leo baada ya Mrembo aliyewahi kuwa Miss. Tanzania 2006 Wema A. Sepetu amemuokoa rafiki yake Kajala Masanja kifungo cha miaka nane jela kwa kumlipia faini ya Sh. 13m

Majoy blog inakupa pole Kajala kwa maswaibu yaliyokupata na mshukuru Mungu kwa kukuletea mwokozi Wema kwa wema wake.

Wema wewe ni mwema kama jina lako Mungu akuzidishie saba mara sabini pale ulipopunguza.


Joyce Mahila. Marketing Manager. Nitramek Investment. Lusaka Zambia

1 comment:

  1. Kweli Wema umefanya jambo kubwa nalikubali lkn kwann usitulie na kufanya mambo mazuri kama haya na kuachana kabisa na kashfa kashfa za kijinga.

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...