Social Icons

Sunday, April 7, 2013

IN LOVING MEMORY OF STEVEN KANUMBA R.I.P IT'S 1 YEAR!

Leo ni siku ambayo Watanzania wanakumbuka siku ambayo Msanii mkongwe wa filamu Tanzania Marehemu Steven Kanumba alifariki dunia.

Majonzi huzuni na vilio vilitawala lakini ukweli ulibaki pale pale kwamba ametutoka na kwamwe hatutamuona tena. Cha muhimu ni kumuombea huko aliko apumzike kwa amani.

Pole kwa familia ya marehemu, wasanii wenzake na Taifa kwa ujumla. Kumbukumbu zinaumiza sana lakini nawaombea kwa Mungu wawe na mioyo ya uvumilivu na faraja.

Pumzika kwa amani Steven Kanumba,
Bwana alitoa Bwana alitwaa Jina la Bwana Libarikiwe.


Joyce Mahila. Marketing Manager. Nitramek Investment. Lusaka Zambia

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...