Social Icons

Friday, April 12, 2013

JB WEAR LAUNCHING ON FNL YA EATV

Ijumaa iliyopita Jacob Stephen almaarufu kama JB alizindua lebo yake ya JB Bonge La Bwana kwenye T-shirt na Ladies Top kwenye kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na Television ya EATV.


Bidhaa hizo zinapatikana kwenye baadhi ya maduka Dar es Salaam, wa mikoani mnaweza kupata bidhaa zetu kwa kupiga simu namba +255 713 372 194

Kuona yaliyojiri angalia picha hapa chini........Photo

Pichani ni Marco Kilo ambae ndiye msimamizi mkuu wa mradi huu, kumpata piga namba +255 713 372 194 waweza nunua kwa jumla au rejareja.

Waweza pia nipigia mimi kwa namba +255 753 298 373 na utaletewa T-shirt yako au Top popote ulipo ndani ya Dar.


2 comments:

  1. Mzigo uko poa sana ninayo yangu ya njano saaafiii kabisa..kiwangooo big up bonge la bwana

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...