Social Icons

Wednesday, April 24, 2013

KAMA BADO HUJASIKIA BASI HABARI NDO HII....SAA YENYE UWEZO WA KUREKODI VIDEO N.K


Tujihadhari na wanaume siku hizi kuna saa zina camera na zina record sauti kwa hiyo tuwe makini saa yenyewe inaonekana ivyo hapo kwa chini ya namba 6 ndio kuna camera yenyewe na kidude cha pembeni microphone na ina recod video pia tuwe makini.hiyo saa ninayo na inauzwa bei rahisi kwa hiyo tuwe makini sana.
Be careful ladies....

SPECIAL THANKS TO YASMIN AMRI KWA KUTUJUZA,NIMESHARE HII KWA FAIDA YA WENGINE SO KAMA VIPI SHARE NA WADADA WENGINE UNAOWAJUA.2 comments:

  1. hahaaa my sister hii saa namimi naitaka aisee how much is this haha

    ReplyDelete
  2. MY DEAR DOGO HEBU GOOGLE UTAPATA DETAILS NASIKIA SIO GHALI SANA

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...