Social Icons

Monday, January 23, 2012

YALIYOJIRI WEEK END - IJUMAA

Mimi na rafiki yangu na ndugu yangu kipenzi Esher tulihudhuria uzinduzi wa ZUKU TV uliofanyika katika hotel ya Golden Tulip.
Baadi ya picha tulizopiga usiku huo....
Friends Forever.....

Hapa tukiwa njiani kuelekea Golden Tulip
Mrembo Esha akiingia Hotelini kushuhudia uzinduzi wa ZUKU TV
Anaitwa Esher Salim Buheti ni msanii wa filamu na pia ni mjasiriamali
Mamaa wa Majoy Blog

Umeona nini kwenye pcha hii taja vitatu.....zawadi nono atakaepatia!!!

Mpiga pisha alikua mrefu sana akatukata miguu!!!

Esher na director wake Cloud 112

Wasanii wa filamu  JB,Esher na Cloud 112 pamoja na Q-Chiller mwanamuziki


Hapo anacheza wimbo wa TMK wanaume kama sikosei unaitwa Kichwa  Kinauma!!!Jamani huyu mpigapicha alikua na visa kweli kila picha kanikata miguu!!!!Model wa Majoy Blog soon this year mtamuona kwa matangazo ya kitu fulani chini ya Majoy Blog tuombeeni kheri....

Asanteni kwa kunisoma, kwa maoni na ushauri tuandikie majoy28@gmail.com

13 comments:

 1. JOY .. SHOGA YAKO ESHER ANA JINA ZURI SANA JE ANA ASILI YA KIARABU.

  ReplyDelete
 2. JOY KATIKA PICHA NIMEONA:-
  1-MREMBO MMOJA ANAITWA MAJOY.
  2-MECHING KATI YA KIATU NA HANDBAG RANGI NYEKUNDU.
  3-MECHING KATI YA KIATU NA MKUFU (NYEUPE)
  4-HANDBAG NYEUSI ILIYOACHWA JUU YA KITI NADHANI ITAKUA YA ESHER.
  5-VIATU VIZURI SANA ULIVYOO VAA KIASI MPAGA PICHA AMEKUONEA WIVU NA KUKATA PICHA ZAKO KARIBU ZOTE, KITU AMBACHO UMEKILALAMIKIA.
  6-TAA YENYE MWANGA MKALI.
  7-TABASAMU LAKO KALI NA ZURI.
  8-TENTY
  9-MTI WA MNAZI.

  ReplyDelete
 3. JOY .. SIO KILA MTU ANAYEBEBA CAMERA NI MPIGA PICHA, BILA SHAKA HUYO MPIGA PICHA WAKO ALIBABAISHWA NA VIFUA VYENU VYA BATA NA AKACONSTRET HAPO HAPO KIFUWANI.
  MIE NI MPIGA PICHA MZURI NEXT TIME UNAWEZA KUNITUMIA KUKUPIGA PICHA.

  ReplyDelete
 4. WE JOY BADO NAKUDAI ZAWADI YANGU YA MWISHO WA MWAKA AU UMESAHAU, MIE NIKUA WA KWANZA KUCOMENT.

  ReplyDelete
 5. MMEPENDEZA SANA MAJOY MSALIMIE NAOMI WA MREMBO KIKOJOZI KAMA SIKOSEI

  ReplyDelete
 6. Heheheheeeee Majoy nimeona kitu kama CL???? upo juu

  ReplyDelete
 7. Mojaone una maswali mengi sana haya majibu ni kama ifuatavyo:-
  1. zawadi ya mwisho wa mwaka utapata sasa cjui nakutumiaje nitaipost hapahapa bloguni so endelea kuvisit.
  2.Umepatia sana maana umeona vyote nilichotaka mtu agundue ni jinsi nilivyovaa na wewe ni kiboko sikutegemea kama mwanaume anaweza kuona yote hayo. zawadi yako nitaiweka hapahapa bloguni then tutawasiliana nijue jinsi ya kukupatia.
  HONGERA MOJAONE

  ReplyDelete
 8. niaje mmependeza jamani loooh

  ReplyDelete
 9. Mrs.Humphrey asante sana kwa kutembelea blog.uzidi kubarikiwa

  ReplyDelete
 10. Mrs.Humphrey asante sana kwa kutembelea blog.uzidi kubarikiwa

  ReplyDelete
 11. Mrs.Humphrey asante sana kwa kutembelea blog.uzidi kubarikiwa

  ReplyDelete
 12. Uwiiiiiii nimetamani jamani mmetoka watamu vibaya kama kawaida yenu ...

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...