Social Icons

Saturday, December 21, 2013

HEMED AFUNGA NDOA NA BINTI WA ZAMBIA!!!!!


 
 Ushahidi wa picha za Hemed Phd akiwa ma mkewe binti wa ki-Zambia Cassie siku ya ndoa yao!!! Jamanieee msini-quote vibaya hii ni filamu mpya kutoka Zambia itakayoitwa Tangled Mess aka Guilt,ni filamu nzuri sana sio ya kukosa.Nitawajulisha mara tu itakapokuwa tayari.


No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...