Social Icons

Tuesday, July 19, 2011

UJASIRIAMALI -MAPAZIA

Mapazia mazuri na yakupendeza yanapatikana kwa bei poa ya sh.25000/- kwa pc ya mita tatu urefu na upana wa mita moja na nusu.rangi ni mixed maroon and cream na gold and brown.
Wahi sasa zimebaki pisi chache.Kumbuka ni ya mitumba ya kisasa kutoka mamtoni lol!.Design ikiisha hairudi tenaaaaaaaaaa!!

1 comment:

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...