Social Icons

Tuesday, December 20, 2011

Esher's Birthday....

Baadhi ya picha za Birthday ya Esher kama nilivyoahidi kuwaletea.Kwa mnaoangalia Bongo Movies mtakua mnamfahamu Esher amecheza movie ya Da Shoron,Mrembo Kikojozi,Kisasi cha Utata, Sangoma,Kinyonga na nyingine nimesahau zaitwaje...zote hizo amekamua kisawasawa namwaminia yupo juu sana....Keep going gal utafika mbali kwani Mungu akisema Yes hata wanadamu wakibana ipo siku wataachia tu.

Venue : Esher's Home @ Kijitonyama


My beautiful Esher akijiandaa kukata keki

Keki ilikua tamu i wish mngeonjaaa...

Happy birthday my one n only one sweet wife ndo alisema Nice alipomlisha mkewe keki!!

Kula shoga yangu asante kwa kuja...Esher akimlisha Sarah kipande cha keki

Majoy akilishwa keki ...hapo nilitamani nile yote keki ilikua tamu mno pongezi kwa Esher's hubby Kasanga Nico kwa kuandaa keki tamu namna hii

Kula mume wangu mpenzi nakupendajeee wenye wivu watajibebaaa...Sio maneno yangu jamani Esher huyo wakati akimlisha mume wake mpenzi Kasanga Nico keki ya upendo ktk bday yake

Esher na rafiki anaitwa Kassim kama sikosei...

Majoy na Margareth ktk pozi la kulia keki lol!!!

Lover Birds ....Till Death Do Them Apart ..God Bless u dearest friends.

My best friend ever...Nakuombea kila siku uishi maisha marefu tuzidi kufurahi mpaka tuuone uzee wetu shoga yangu.

Marafiki wapenzi tukiwa pamoja na Esher kumpongeza kwa siku yake ya kuzaliwa....Long Live our lovely friend ooo(sauti ya Kinaijeria!!!)
(Kutoka kulia...Sarah,Esher ,Margareth,Majoy na Arafa)

7 comments:

 1. MMEJICHAGUA WENYEWE WADADA WAZULIII WOTE MMEOLEWA?

  ReplyDelete
 2. Esher una mume handsome mashallah halafu inaonesha mnapendanaaa hongera sana

  ReplyDelete
 3. HAPPY BDAY SUPASTAA USIE NA SKENDO NIMEFURAHI KUKUONA HAPA

  ReplyDelete
 4. Mlipendeza sana wadada nimewapenda sana natamani niwaalike namie kwenye bday yangu

  ReplyDelete
 5. nice pics n caption ofcoz upo juu Majoi

  ReplyDelete
 6. Majoy naomba contact za hao wadada nimewapenda wote wanajua kusmile duh kweli kuchagua mchumba kazi sana sikuizi mademu wote wazuri

  ReplyDelete
 7. Asanteni sana kwa maoni yenu salaam zitawafikia.

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...