Social Icons

Thursday, July 14, 2011

Wageni 1,000 kualikwa - Kim Kardashian wedding

Bi dada amepania kufanya bonge la pati litakalohudhuria na watu maarufu kibao na shughuli nzima itarushwa ktk kipindi chake cha Kim K -Reality Tv Show.kwa taarifa ni kwamba ameshakutana na mwanamitindo wa kimataifa Vera Wang kujadili kuhusu gauni atakalovaa ambalo anataka linalobana na mkia mkuuuuuuuuubwa utakaonakshiwa kwa Almasi Duh shost anataka harusi yake iwe kama ya Prince Will na Cate lol!!

Shukrani za Pekee: BANG Media International

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...